Alliy khamis

Alliy khamis Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Alliy khamis, Library, Plot No.2470/5, Sea View Apartment, Sea View Rd, Nr. Aga Khan Hospital, Upanga, Sea View.

Tumechagua Happiness...@&  Wabaya👑👑👑👑
05/07/2024

Tumechagua Happiness...@& Wabaya👑👑👑👑

Hawa jamaa wanakuwaga waongo sana...cjui wanamdanganya nani...wameshazoea kuwaongopea makolo wenzao sasa sold out...na m...
21/10/2023

Hawa jamaa wanakuwaga waongo sana...cjui wanamdanganya nani...wameshazoea kuwaongopea makolo wenzao sasa sold out...na mapengo yale inakuwaje...na hapo hatujasahau walisema waliwafunga watu sita na ikakanushwa ..na wakakaa kimya...na hiii nawapa hii michuano baadae ina timu nyingi sasa yanga atakapokuwa anacheza finally tutaambiwa makolo walicheza robo finally kumbe ni hatua ya mwanzo na biashara yao ikaishia...hapa hapa......Hii picha haihusian...na makolo... @baraka_mpenja

Al Jummah Mubarakah...Eid Mubarakah @
21/04/2023

Al Jummah Mubarakah...Eid Mubarakah @

Kweli paka akiondoka panya hutawala...Wenye nchi wameondoka sasa cha ajabu nasikia tena kuna wananchi wanazindua jezi..n...
07/02/2023

Kweli paka akiondoka panya hutawala...Wenye nchi wameondoka sasa cha ajabu nasikia tena kuna wananchi wanazindua jezi..nikastaajabu kuja kutizama baadae kumbe ni wale madunduka .Yani kweli wale ni mambumbumbu...wanapelekana kikolo kolo...timu imejaa waganga na wachawi kulogana ndo wanachojuwa sasa angalia hayo matambaa waliyotoa utadhani....matambaa ya unyagoni...Haya sisi tumekubali nyie ni wananchi kwasababu mmekubali..na kwasababu hatupo tukirudi tuu kila kitu kikae sehem yake...mwenye nchi awe mwenye nchi na dunduka wakae na uzezete wao

Address

Plot No.2470/5, Sea View Apartment, Sea View Rd, Nr. Aga Khan Hospital, Upanga
Sea View

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Alliy khamis posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category