azizasleyum_fanpage

azizasleyum_fanpage Ushindi wa CCM 2020

24/03/2025

Tume huru ya Uchaguzi imeongeza siku za kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga kura hadi tarehe 25/03/2025

23/03/2025

Zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura katika Manispaa ya Kigamboni linaendelea kwa mafanikio makubwa, likionyesha mwitikio mkubwa kutoka kwa wananchi. Zoezi hili linatarajiwa kudumu kwa siku saba, likitarajiwa kumalizika tarehe 23
Machi, 2025.
Akizungumza kwenye kipindi cha Hello Tanzania cha Uhuru FM, Afisa Muandikishaji wa Jimbo la Kigamboni, Selemani Kateti, amesema kuwa zoezi linaendelea vizuri na watu wengi wanajiandikisha kwa wingi.

 🎥 Kutoka Kwa Afisa Uandikishaji Jimbo la Kigamboni Dar es salaam
18/03/2025

🎥 Kutoka Kwa Afisa Uandikishaji Jimbo la Kigamboni Dar es salaam

17/03/2025

Afisa Uandikishaji Jimbo la Kigamboni Bw. Selemani Kateti ameelezea kuridhishwa na hali ya uandikishwaji katika Daftari la Kudumu la Wapiga kura katika siku ya kwanza ya zoezi hilo.
Zoezi la kuandikisha na kuboresha taarifa katika Daftari la Kudumu la Wapiga kura limeanza Machi 17, 2025 na linatarajiwa kukamilika Machi 23, 2025.

TAARIFA: ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM KATIKA JIJI LA DODOMA KUANZIA TAREHE 15 JUNI 2023.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduz...
14/06/2023

TAARIFA: ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM KATIKA JIJI LA DODOMA KUANZIA TAREHE 15 JUNI 2023.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo atafanya Ziara ya Kuimarisha Chama, Ukaguzi wa Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 - 2025 na Usikilizaji na Utatuzi wa Kero za Wananchi katika jiji la Dodoma kuanzia mnamo tarehe 15 Juni 2023 hadi tarehe 25 Juni 2023.

Ndg. Chongolo ataongozana na wajumbe wawili wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Katibu wa NEC - Organaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi (Gavu) na Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema.

Nyote Mnakaribishwa.



TunaImaniNaSamia

17/12/2021

MKUTANO MKUTANO MKUTANO

MBUNGE WA HANDENI MJINI MHE. REIBEN KWAGILWA SAMTAGWA MAMBA LONGISHU

ATAKUWA NA MKUTANO WA HADHARA VIWANJA VYA SOKO LA ZAMANI CHANIKA

WANANCHI WOTE WA HANDENI MNAKARIBISHWA SANA

19.12.2021 JUMAPILI HII

KUANZIA SAA 6 MCHANA

24/11/2021
09/11/2021
06/11/2021

Awamu ya Sita Kazini
Tunajenga Taifa letu.


04/10/2021

Address

Tabora

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when azizasleyum_fanpage posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to azizasleyum_fanpage:

Share