07/11/2017
Mwanamke mnyanyua vyuma maarufu wa nchini Urusi, Natalia Kuznetsova, amesema anatamani kuwa na mchumba atakayemuoa baadae lakini wanaume wengi wamekuwa wanamuogopa kumtongoza.
Je, angekuwa bongo wewe ungejitosa kujaribu zali au kumuunganishia ndugu yako?