UVCCM LUNGUZA

UVCCM LUNGUZA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from UVCCM LUNGUZA, Political organisation, Lunguza, Tanga.

Huu ni Ukurasa Rasmi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya LUNGUZA ndani ya Wilaya ya LUSHOTO, Mkoa wa TANGA ๓ฑข

Jimbo la MLALO, Tarafa ya UMBA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ


๐Ÿ‘
๐Ÿ’ช
๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š

๐—ฅ๐—”๐—œ๐—ฆ ๐——๐—ž๐—ง. ๐—ฆ๐—”๐— ๐—œ๐—” ๐—”๐—ก๐—”๐—ช๐—”๐—ง๐—”๐—ž๐—œ๐—” ๐—ช๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—” ๐—ช๐—ข๐—ง๐—˜ ๐—›๐—˜๐—ฅ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ฆ๐—œ๐—ž๐—จ๐—ž๐—จ๐—จ ๐—ฌ๐—” ๐—˜๐—œ๐—— ๐—”๐—Ÿ ๐—™๐—œ๐—ง๐—ฅMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais...
20/03/2026

๐—ฅ๐—”๐—œ๐—ฆ ๐——๐—ž๐—ง. ๐—ฆ๐—”๐— ๐—œ๐—” ๐—”๐—ก๐—”๐—ช๐—”๐—ง๐—”๐—ž๐—œ๐—” ๐—ช๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—” ๐—ช๐—ข๐—ง๐—˜ ๐—›๐—˜๐—ฅ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ฆ๐—œ๐—ž๐—จ๐—ž๐—จ๐—จ ๐—ฌ๐—” ๐—˜๐—œ๐—— ๐—”๐—Ÿ ๐—™๐—œ๐—ง๐—ฅ

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ป anawatakia waumini wote wa Dini ya Kiislamu na Watanzanio wote kwa ujumla Heri ya Sikukuu ya Eid Al Fitr.

๐™๐™ช๐™จ๐™๐™š๐™ง๐™š๐™๐™š๐™ ๐™š๐™š ๐™ ๐™ฌ๐™– ๐˜ผ๐™ข๐™–๐™ฃ๐™ž ๐™ฃ๐™– ๐™๐™ฅ๐™š๐™ฃ๐™™๐™ค.





Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kata Ya Lunguza inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya ki...
18/02/2026

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kata Ya Lunguza inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kiislamu mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Katika kipindi cha mfungo wa Ramadhan tukakitumie kudumumisha amani, upendo, umoja na mshikamano wa Taifa letu.


Karibu Wilaya ya Lushoto, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck NchembaKARIBU SANA KI...
14/02/2026

Karibu Wilaya ya Lushoto, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

KARIBU SANA KIONGOZI, LUSHOTO NI NYUMBANI KWAKO ๐Ÿค

Lushoto DC
Ofisi ya Waziri Mkuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Kikao cha Umoja wa Afrika...
14/02/2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Kikao cha Umoja wa Afrika (AU) kuhusu masuala ya G20, katika Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU), uliofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia, tarehe 14 Februari, 2026.

Rais Dkt. Samia aliwasilisha msimamo wa Tanzania kuhusu vipaumbele vya maendeleo, ikiwemo kuimarisha matumizi ya nishati safi, usimamizi wa madeni ya nchi, ustahimilivu dhidi ya majanga ya tabianchi, uongezaji thamani wa rasilimali za madini, pamoja na kuimarisha usalama wa chakula.
_____


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Mkutano wa Kamati ya Wakuu ...
13/02/2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Mkutano wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (CAHOSCC) wa mwaka 2026, Februari 13, 2026, jijini Addis Ababa, Ethiopia, chini ya Uenyekiti wa Rais wa Kenya, Mheshimiwa William Ruto.

Kikao hiki muhimu, kinachofanyika kuelekea Mkutano wa 39 wa Umoja wa Afrika (Februari 14-15), kinalenga kuharakisha hatua dhidi ya mabadiliko ya tabianchi na kuimarisha msimamo wa pamoja wa Afrika katika suala zima la mabadiliko ya tabia nchi.
_____



KATIBU MKUU UVCCM, MWINYI MGENI RASMI BARAZA LA KAWAIDA UVCCM ARUSHA MJINIKatibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Ma...
13/02/2026

KATIBU MKUU UVCCM, MWINYI MGENI RASMI BARAZA LA KAWAIDA UVCCM ARUSHA MJINI

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Ndugu Halid Mwinyi atakuwa mgeni rasmi katika kikao cha Baraza la Kawaida la UVCCM wilaya ya Arusha Mjini leo tarehe 13 Februari 2026 kuanzia saa 6 mchana katika Ukumbi wa CCM Wilaya - Arusha Mjini.


Siku 100 Za Rais Dkt.Samia : Ameunda Wizara inayoshughulika na masuala ya Vijana tuu. Wizara ya Vijana imeundwa kuwalete...
12/02/2026

Siku 100 Za Rais Dkt.Samia : Ameunda Wizara inayoshughulika na masuala ya Vijana tuu.
Wizara ya Vijana imeundwa kuwaletea vijana fursa za ujuzi, ujasiriamali, teknolojia, na suluhisho la changamoto zao. Kila hatua inaonyesha jinsi Serikali inavyoweka vijana mbele katika maendeleo ya Taifa.
โ€œZaidi ya asilimia 60 ya watu wa nchi hii ni vijana; tutapanua fursa za kiuchumi, ajira, na hifadhi ya jamii, ili vijana washiriki kikamilifu katika kujenga mustakabali mwema wa Taifa letu.โ€ โ€“ Dkt. Samia, 14 Novemba

12/02/2026

Ikiwa zimetimia Siku 100 tangu Serikali ya Awamu ya Sita kwa Mhula wa Pili chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani, maajabu makubwa yamefanyika na kuwanyamazisha wale waliohisi ahadi za Siku 100 ni siasa na siyo uhalisia.

Bilioni 200 kuwezesha vijana zimetengwa, biashara zisizo rasmi na ambazo zilikuwa na vikazwo kwa watanzania kuwezeshwa sasa zinarasimishwa.

Ahadi ya ajira 12,000 ndani ya Siku 100 imetimia ambapo Walimu 7,000 wa Sayansi na Hisabati pamoja na Wahudumu wa Afya 5,000 wameajiliwa.

Sambamba na hayo, takribani Kaya 276,000 zimeshapata Bima ya afya na zoezi linaendelea kuhakikisha Watanzania Milioni 1 na Laki 4 wanasajiriwa kwa awamu hii ya kwanza.

Miradi ya maendeleo, diplomasia ya kimataifa, uwajibikaji na gridi ya taifa ya maji havikuachwa nyuma. Hizi ni Siku 100 za Dkt. Samia na KAZI INAENDELEA.

*RAHA YA KIJANI ILANI CHATBOT*Uhakika wa majibu sahihi kuhusu Ilani ya CCM, moja kwa moja mkononi kwako.Je, una swali ku...
09/02/2026

*RAHA YA KIJANI ILANI CHATBOT*
Uhakika wa majibu sahihi kuhusu Ilani ya CCM, moja kwa moja mkononi kwako.
Je, una swali kuhusu Ilani ya CCM, mafanikio yake, namna ambavyo vijana wananufaika ? Usibaki na sintofahamu.
Chat leo. Pata majibu leo.

Jiunge nasi ujifunze, uelewe, na uchukue nafasi yako katika mabadiliko chanya ya taifa letu. Chat kupitia hapa https://kijanichatbot.or.tz/

โ€”โ€”
,Tunasonga Mbele

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki mjadala katika Jukwaa la Serikali za Du...
04/02/2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki mjadala katika Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), tarehe 4 Februari, 2026 Madinat Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Amani na Umoja kwa Maendeleo ya Taifa letu

KARIBU LUSHOTO COMRADE Umoja Wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Lunguza tunakukaribisha sana ndani ya wilaya yetu ...
31/01/2026

KARIBU LUSHOTO COMRADE

Umoja Wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Lunguza tunakukaribisha sana ndani ya wilaya yetu ya LUSHOTO

Tunaungana wote pamoja kwenye UZINDUZI WA MIAKA 49 YA KUZALIWA WA Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Karibu sana Mwenyekiti wetu wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa TANGA, Ndugu. Rajabu Abrahaman Abdallah

Tumechagua Umoja na Amani, Kwa Maendeleo ya Taifa letu

Lushoto DC
CCM Tanzania
Comrade Mohammed Kawaida
UVCCM Tz

LUNGUZA KATA YETU ๓ฑข ๏ฟฝ

UMOJA WA VIJANA CHAMA CHA MAPINDUZI KATA YA LUNGUZATunakutakia Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduz...
27/01/2026

UMOJA WA VIJANA CHAMA CHA MAPINDUZI KATA YA LUNGUZA

Tunakutakia Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE

CCM Tanzania
Chama Cha Mapinduzi
UVCCM Tz
Lushoto DC
Comrade Mohammed Kawaida
LUNGUZA KATA YETU ๓ฑข ๏ฟฝ

Address

Lunguza
Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UVCCM LUNGUZA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to UVCCM LUNGUZA:

Share