Jamii Mpya Tanga

Jamii Mpya Tanga Welcome To Jamii Mpya Tanga Official Page

yangu yangu

1)..HAPPY BIRTHDAY MAMA YETU KIPENZI  2)..HAPPY BIRTHDAY MH.RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,.......UISHI MIAKA ...
27/01/2024

1)..HAPPY BIRTHDAY MAMA YETU KIPENZI

2)..HAPPY BIRTHDAY MH.RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,
.......UISHI MIAKA MINGI MAMA...........

🇹🇿JAMII MPYA MKOA WA TANGATunakutakia Kheri Na baraka Teleee Ktk Siku Yako Hii Muhimu Ya Kuzaliwa
05/09/2023

🇹🇿JAMII MPYA MKOA WA TANGA

Tunakutakia Kheri Na baraka Teleee Ktk Siku Yako Hii Muhimu Ya Kuzaliwa

18/07/2023

📍TUKUTANE KOROGWE

🔢19.7.2023

18/07/2023

KONGAMANO ! KONGAMANO LA KUMPONGEZA MH. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN MKOA WA TANGA

Jamii Mpya Tanga

18/07/2023



10/07/2023

📍Save The Date

Hii si yakukosa

 8.6.2023Pongezi kwa Dr. SporaMkurugenzi wa jiji la Jamii Mpya Tanga
08/06/2023



8.6.2023

Pongezi kwa Dr. Spora

Mkurugenzi wa jiji la Jamii Mpya Tanga

01/02/2023
  Amsha Amsha na Shamra shamra za Wana Jamii Mpya Tanga ktk mapokezi ya Mh Rais Wa Jamhuri Ya muungano Wa Tanzania mkoan...
11/11/2022



Amsha Amsha na Shamra shamra za Wana Jamii Mpya Tanga ktk mapokezi ya Mh Rais Wa Jamhuri Ya muungano Wa Tanzania mkoani Tanga

 Mapokezi ya Mh. Rais Samia Mkoani TangaJamii mpya Tanga Wakiwa  ndani ya viunga vya uwanja wa ndege Tanga kwa ajili ya ...
11/11/2022



Mapokezi ya Mh. Rais Samia Mkoani Tanga

Jamii mpya Tanga Wakiwa ndani ya viunga vya uwanja wa ndege Tanga kwa ajili ya hamasa ya nguvu ktk mapokezi ya kipenzi cha wa TAnzania Mh. Rais Samia Suluhu Hassan

 Mapokezi ya Mh. Rais Samia Mkoani TangaJamii mpya Tanga Wakiwa nje ya ofisi ya mkuu wa wilaya ya Tanga kabla ya kuanza ...
11/11/2022



Mapokezi ya Mh. Rais Samia Mkoani Tanga

Jamii mpya Tanga Wakiwa nje ya ofisi ya mkuu wa wilaya ya Tanga kabla ya kuanza msafara kuelekea uwanja wa ndege wa Tanga kwa ajili ya mapokezi Ya Rais Wa Jamhuri Wa Muungano Wa Tanzania

 Agost 29,2022Viongozi wa Jamii mpya Tanga Washiriki mkutano mkuu wa shirikisho la filamu Tanzania kufuatia mualiko toka...
11/11/2022


Agost 29,2022

Viongozi wa Jamii mpya Tanga Washiriki mkutano mkuu wa shirikisho la filamu Tanzania kufuatia mualiko toka shirikisho hilo , lililofanyika agost 29,3022 ndani ya ukumbi wa mikutano ofisi ya mkuu wa mkoa Tanga

* mama Tupo*

Address

Tanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jamii Mpya Tanga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Jamii Mpya Tanga:

Share