KKKT Usharika wa Kana

KKKT Usharika wa Kana This page aim on promoting marginalized and need people. Its Diaconic kind of.

Advent (Majilio), Wamama wa Usharika wa Kana hongereni sana. Mmetuwakilisha vizuri. !!
27/11/2022

Advent (Majilio), Wamama wa Usharika wa Kana hongereni sana. Mmetuwakilisha vizuri.

!!

Siku ya jana ilikuwa siku ya furaha kuu katika Usharika wetu wa Kana pale tulipomuaga Mchg. Moses Shemweta ambaye alikuw...
14/11/2022

Siku ya jana ilikuwa siku ya furaha kuu katika Usharika wetu wa Kana pale tulipomuaga Mchg. Moses Shemweta ambaye alikuwa Mchungaji Kiongozi wa Usharika huu toka mwaka 2016 - 2020.

Mungu amejitukuza sana kwenye ibada hii. Asanteni sana Washarika wenzangu wa Usharika wa Kana kwa upendo na umoja mliouonyesha kwa Mchungaji wetu.

HAKIKA MUNGU AMETUSAIDIA!!
30/10/2022

HAKIKA MUNGU AMETUSAIDIA!!

WANA-USHARIKA WA KANA LEO TUMEMTOLEA MUNGU WETU MAVUNO KWENYE SIKUKUU YA MAVUNO 2022.TUMEUNGANA NA MFALME DAUDI KUSEMA "...
30/10/2022

WANA-USHARIKA WA KANA LEO TUMEMTOLEA MUNGU WETU MAVUNO KWENYE SIKUKUU YA MAVUNO 2022.

TUMEUNGANA NA MFALME DAUDI KUSEMA "MIMI NI NANI, NA WATU WANGU NI NANI, HATA TUTOE KWA HIARI HIVI? KWANI VITU VYOTE VYATOKA KWAKO NA KATIKA VITU VYAKO MWENYEWE TUMEKUTOLEA". (1NYAKATI 29:14)

Ziara ya kikazi Mkoani Kigoma kwenye uzinduzi wa Dayosisi ya Magharibi.
11/10/2022

Ziara ya kikazi Mkoani Kigoma kwenye uzinduzi wa Dayosisi ya Magharibi.

Baadhi ya watoto wa Shule ya Jumapili (Sunday School) wakifuatilia ibada ya kuazimisha sikukuu ya watoto (MIKAELI NA WAT...
04/10/2021

Baadhi ya watoto wa Shule ya Jumapili (Sunday School) wakifuatilia ibada ya kuazimisha sikukuu ya watoto (MIKAELI NA WATOTO) iliyoadhimishwa jana.

04/10/2021

Jana ilikuwa siku ya baraka sana kwa watoto wetu kwani walisheherekea sikukuu yao muhimu ya MIKAELI NA WATOTO.

Video huu hapa chini ikiwaonyesha baadhi yao wakisema mistari ya moyo.

Kazi ya Mungu inasonga mbele k**a apendavyo yeye mwenyewe!!
29/09/2021

Kazi ya Mungu inasonga mbele k**a apendavyo yeye mwenyewe!!

OFISI YA MKUU WA JIMBO LA PWANI KKKT-DKMS (THADEUS APELES KETO) . IMENUNULIA PIKIPIKI USHARIKA WA DUGA MAFORONI YENYE THAMANI YA SHILINGI MIL 250,0000/= ITAKAYO TUMIKA KATIKA SHUGHULI MBALIMBALI ZA USHARIKA WA DUGA MAFORONI
PIKIPIKI IMEPOKELEWA NA DEAN MCHUNGAJI MICHAEL MLONDAKWELI KANJU NA KUIKABIDHI KATIKA OFISI YA USHARIKA

Mchg. Dr. William Kopwe amekuwa baraka sana kwa vijana wa usharika wetu wa Jana, kwani SOMO alilolifundisha kwenye semin...
06/09/2021

Mchg. Dr. William Kopwe amekuwa baraka sana kwa vijana wa usharika wetu wa Jana, kwani SOMO alilolifundisha kwenye semina iliyomalizika juzi Ijumaa liligusa maisha ya vijana na namna vijana wanapaswa kutumia nafasi yao k**a wana wa MFALME kumshinda shetani na hila zake na pia kutumia nafasi hiyo kufanikiwa kiuchumi katika maisha yao.

Tunamshukuru sana Mungu kwa baraka zake kwenye usharika wetu. Jana ilikuwa siku ya kihistoria pale kwaya ya vijana ya us...
06/09/2021

Tunamshukuru sana Mungu kwa baraka zake kwenye usharika wetu. Jana ilikuwa siku ya kihistoria pale kwaya ya vijana ya usharika ilipozindua album yao ya DVD ya kwanza.

Address

Tanga

Telephone

+255715595368

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KKKT Usharika wa Kana posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share