Tanzania Kijiji cha Mfano

Tanzania Kijiji cha Mfano Jina : Tanzania Kijiji Cha Mfamo
Location : Amani , Muheza ,Tanga

Wanakijiji | Serekali | Wadau

Ujenzi wa ofisi ya kijiji ndio project yetu ya kwanza.Mwanzoni tulikuwa hatuna ofisi kwa ajili ya vikao  na sehemu ya wa...
02/02/2024

Ujenzi wa ofisi ya kijiji ndio project yetu ya kwanza.Mwanzoni tulikuwa hatuna ofisi kwa ajili ya vikao na sehemu ya wanakijiji kukutana na viongozi wao.Kwa sasa ndio kijiji pekee kwa upande wa Amani chenye ofisi nzuri ingawa bado tunazidi kuboresha.Malengo yetu ni kuwa na ofisi ya mfano kwa Tanzania nzima , ofisi yenye mifumo ya kisasa ya tehama yenye taarifa zote muhimu zilizohifadhiwa kwa kitekinolojia.





Njiani kuelekea kijiji cha kwemsoso unapita hifadhi ya amani ambapo utapata nafasi yukujione mandhari nzuri , maporomoko...
31/01/2024

Njiani kuelekea kijiji cha kwemsoso unapita hifadhi ya amani ambapo utapata nafasi yukujione mandhari nzuri , maporomoko ya maji , nyani wa aina tofauti ....weusi na weupe , vinyonga na aina tofauti tofauti ya ndege. Karibu sana Amani , karibu sana katika kijiji cha mfano.

Safari ya kutengeneza kijiji cha mfano ilianza miaka michache iliyopita baada kufika kijiji cha  kwemsoso na rafiki yang...
27/01/2024

Safari ya kutengeneza kijiji cha mfano ilianza miaka michache iliyopita baada kufika kijiji cha kwemsoso na rafiki yangu Alloyce Mkongewa na kukutana na viongozi wakijiji na baadae wanakijiji. Nilifarijika kukutana na watu wazuri wenye kiu ya maendeleo na walio tayari kubadilika. Maono yetu ni kuhakikisha baada ya miaka 10 basi kwemsoso iwe kijiji kilichoendelea zaidi Tanzania na kuwa mfano , karibu sana kwenye safari hii .

Address

Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Kijiji cha Mfano posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category