24/12/2023
"Mtu mmoja alimtukana Khalid Bin Walid... Naye akamgeukia Akamjibu: "Hiko ni kitabu chako cha Amali, Basi kijaze chochote unachokitaka"
Alisema mtu kumwambia Wahab bin Manbah "Hakika Fulani amekutukana... Akamjibu: "Shetani hakumpata wa kumtuma ispokuwa wewe"??
Alikuja mtu Kwa Imam Shafi akamwambia "Fulani anakutaja kwa mabaya... Akamjibu: "K**a Ni kweli basi wewe Ni mfitinishi, Na K**a Ni uongo basi wewe Ni Fasiq, akaona aibu akaondoka..
Naam Usiniambie Nani ananichukia, Ama ananizungumza vibaya, niache Nifurahi na Watu.