Al -amal charitable foundation

Al -amal charitable foundation PUBLIC GROUP

*AL AMAL CHARITABL FOUNDATION* IS an institution that helps the community in general the elderly, orphans, and vulnerable people as well as solve the challenges of some areas eg college, mosque etc. support our activities
through
Amana:008141901010001
Name : AL AMAL CHARITABLE FOUNDATION
Branch codeSwift code:CORUTZTZ
Branch code:5013
CRDB BANK Acc.no 025731446500
5191576 Voda lipa
5132681 Tigo lipa
AL AMAL CHARITABLE FOUNDATION
mobile πŸ“²: +255716810136
:+255772810136

*πŸ„πŸ•Œ UDH-HIYA 1447H / 2026 πŸ•ŒπŸ‘*═════════════════════════════*Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh*Ndugu wadau wa *A...
30/04/2026

*πŸ„πŸ•Œ UDH-HIYA 1447H / 2026 πŸ•ŒπŸ‘*
═════════════════════════════
*Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh*

Ndugu wadau wa *Al Amal Charitable Foundation*,

Katika kipindi hiki kitukufu cha *Mfungo Tatu Dhul-Hijjah*, Taasisi ya *Al Amal Charitable Foundation* inapokea sadaka za *Udh-hiya/Qurbani* kwa ajili ya kugawa nyama kwa kaya zenye uhitaji.

Kwa ndugu zetu wanaotaka kutekeleza ibada hii lakini hawana sehemu ya kupeleka mnyama au ugawaji, *tupo tayari kupokea na kusimamia* zoezi lote hadi siku ya *Eid-ul-Adha* inshallah.

*πŸ’° GHARAMA ZA WANYAMA:*
** #** **Mnyama** **Gharama**
1 Mbuzi 150,000/=
2 Kondoo 150,000/=
3 Ng'ombe 800,000/=

*_β€œSi nyama wala damu yao ifikayo kwa Allah, bali taqwa yenu ndiyo ifikayo Kwake”_[Qur'an 22:37]*

*πŸ“± TUMA SADAKA YAKO YA UDH-HIYA:*
*0674435000*
_Jina: Al Amal Charitable Foundation_

*Imeandaliwa na:*
*Katibu: Salmin Ganga*
*Al Amal Charitable Foundation - Tanga*
*30/04/2026*
══════════════
* *
*Allah akubalie sadaka yako*

29/04/2026
*πŸ“š AL AMAL YAKABIDHI JUZUU NA MISAHAFU - TANGASISI, TANGA πŸ“š*═════════════*Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh*Nd...
27/04/2026

*πŸ“š AL AMAL YAKABIDHI JUZUU NA MISAHAFU - TANGASISI, TANGA πŸ“š*
═════════════
*Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh*

Ndugu wadau wa *Al Amal Charitable Foundation*,
Siku ya leo *Tarehe 27/04/2026* tumefanikiwa kufika *Wilaya ya Tanga, Kata ya Tangasisi, katika Madrasa tul Othman bin Affan*.

*Lengo la Ziara:* Kutatua changamoto ya uhaba wa vitabu vya dini hususan Juzuu na Misahafu kwa wanafunzi wa madrasa.
*TULIVYOKABIDHI:*
1. *Juzuu ya 1* β€” Nakala 25
2. *Juzuu ya 2* β€” Nakala 25
3. *Kadi za Herufi* β€” Seti 25
4. *Misahafu* β€” Nakala 5
*Jumla: Vitabu 80* vimekabidhiwa kwa ajili ya watoto kusomea.

*Alhamdulillah*, zoezi la ugawaji limekamilika kwa mafanikio makubwa.

_"Kheri yenu ni yule anayejifunza Qur’an na kuifundisha."_[Bukhari]

*Allah azidi kuwalipa kheri* wale wote waliochangia upatikanaji wa Juzuu na Misahafu hizi. Aja'aliwe ni Sadaka Jariya kwao na kwa wazazi wao. Amin.
*Imeandaliwa na:*
*Katibu: Salmin Ganga*
*Simu: 0674435000*
*Al Amal Charitable Foundation - Tanga*
*27/04/2026*
══════════════
* *
*Barakallahu fikum*

25/04/2026

*πŸ•Œ AL AMAL CHARITABLE FOUNDATION πŸ•Œ*
*TAARIFA YA KUKABIDHI MSAADA*
═════════════════════════════

*AL AMAL YAKABIDHI KIFAA CHA KUTEMBELEA KWA MWANAFUNZI FATUMA*

Ndugu wadau wa _Al Amal Charitable Foundation_,

*Shukrani za dhati* kwa wadau wote waliojitolea kuchangia ili kufanikisha upatikanaji wa kifaa cha kutembelea.

*Alhamdulillah* siku ya jana *24/04/2026* tulifanikiwa kufika katika *Kata ya Tangasisi* kumkabidhi *Mwanafunzi Fatuma* kifaa maalum cha kumsaidia kutembea.

*LENGO LA ZIARA:*
Kumkabidhi Fatuma kifaa kitakachomsaidia kutembea vizuri na kurahisisha shughuli zake za kila siku, hususan masomo yake.

*✨ BARAKA ZA SADAKA:*
_"Mwenye kumsadia mwenzie Allah atamsadia yeye"_
Mchango wenu umeleta tabasamu na matumaini kwa Fatuma na familia yake.

*Imeandaliwa na:*
*Salmin Ganga*
*0674435000*
*Katibu - Al Amal Charitable Foundation - Tanga*
*25/04/2026*
══════════════

*πŸ•Œ AL AMAL CHARITABLE FOUNDATION πŸ•Œ*  ═════════════════════════════  _CHANGIA DAWA KWAAJILI YA SABRINA_  _MTOTO ANAETIBIW...
11/04/2026

*πŸ•Œ AL AMAL CHARITABLE FOUNDATION πŸ•Œ*
═════════════════════════════
_CHANGIA DAWA KWAAJILI YA SABRINA_
_MTOTO ANAETIBIWA UGONJWA WA KUPOOZA_

*πŸ“Œ JUMLA INAYOHITAJIKA: Tsh 120,000/=*

*βœ… WALIOCHANGIA:*
1. Salmin 5,000/=
2. Mhina 2,500/=
───────────────────
*πŸ”΄ KILICHOBAKI: Tsh 112,500/=*

*🀝 TUUNGANE TUMFIKISHE*
Mchango wako unasaidia Sabrina apate dawa. Hata 1,000/= ni msaada mkubwa.

*πŸ“± NAMBA YA KUCHANGIA:*
*0674435000*
*Al Amal Charitable Foundation*

_"Atakayemsaidia mwenye shida, Allah atamsaidia"_

*Imeandaliwa na:*
Katibu Salmin Ganga | _11/04/2026_

07/04/2026

*CHANGIA AWAMU YA PILI UJENZI WA MSIKITI UPANDE WAKINA MAMA KILAPULA MACHEMBA*

Mahitaji ya awamu ya pili kwasasa lengo kubwa nikupandisha nguzo za msikiti pamoja na kufunga linta kwa upande wa wanawake.

*Mahitaji*
1. Mchanga trip 2@240,000/=
2. Kokoto trip1@ 240,000/=
3. Mifuko ya saruji 30Γ—16,000/= 480,000/=
4. Nondo mil 12= 10pc Γ—25,000= 250,000/=
5. Ufundi @ 150,000/=
*Jumla 1,360,000/=*

Namba za kuchangia
*0674435000*
*Al amal charitable Foundation*

Address

Tanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Al -amal charitable foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Al -amal charitable foundation:

Share

Category