Upanje Tanzania

Upanje Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Upanje Tanzania, Social service, Tegeta.

24/05/2021

Asant kwa kutumia Upanje soybean tea
Together we grow
Agriculture company

Kazi inaendelea , lakini tuzidi kujari na kuboresha Afya zetu Kila unacho kula tambua umuhimu wake katika mwili wako.SIS...
24/04/2021

Kazi inaendelea , lakini tuzidi kujari na kuboresha Afya zetu Kila unacho kula tambua umuhimu wake katika mwili wako.
SISI TUNAKUNYWA UPANJE SOYBEAN TEA WEWE JE?
agiza sasa jumla na rejareja
0623345501/0657888494

Management ya Upanje Tanzania inawatakia Ramadhan Kareem kwa waislamu wote Duniani Together we can Zero hungerFeed the f...
13/04/2021

Management ya Upanje Tanzania inawatakia Ramadhan Kareem kwa waislamu wote Duniani
Together we can
Zero hunger
Feed the future
Msisahau kununua Soybean tea @ 1500
Tupo kwa ajiri yenu

uwiii haya mambo jaman Asant san FAO na WFP(World food program) kimeumana mambo yana zidi kuwa bam bamkaribu tushirikian...
31/03/2021

uwiii haya mambo jaman Asant san FAO na WFP(World food program) kimeumana mambo yana zidi kuwa bam bam
karibu tushirikiane
TOGETHER WE DO
zero hunger
feed the future

MADHARA YA MAJANI YA CHAI NA KAHAWA KWA MWILI WA MWANADAMUKafeina ni nini?:1. KAFFEINA NI MADAWA YA KULEVYA KUNDI LA 'ST...
24/02/2021

MADHARA YA MAJANI YA CHAI NA KAHAWA KWA MWILI WA MWANADAMU

Kafeina ni nini?:

1. KAFFEINA NI MADAWA YA KULEVYA KUNDI LA 'STIMULANTS DRUGS

Utashangaa. Habari ndiyo hiyo. Hii ndiyo sababu kwa mtu aliyezoea kunywa chai hii kila siku au kahawa, siku asipokunywa kichwa humuuma, ni kwa sababu amekuwa mtegemezi au teja wa kafeina.

Kafeina ni kiungo mhimu karibu katika soda zote zenye rangi nyeusi; Coca-cola, Pepsi, Sayona nyeusi, Azam cola na kadharika. Kafeina huongezwa pia katika Red bull, Malta na katika baadhi ya dawa za kupunguza maumivu mwilini.

Kwahiyo Kafeina ambayo hupatikana katika chai na kahawa ni aina mojawapo ya madawa ya kulevya.

3.KAFFEINA NI KIKOJOSHI (diuretics).

Kafeina ni dawa ya kukufanya ukojowe. Ukinywa kikombe kimoja cha kinywaji chenye kafeina yaani chai au kahawa, basi muda si mrefu utaenda kukojoa vikombe viwili. Kwa sababu kafeina ni taka isiyotakiwa mwilini, mwili utafanya kila uwezalo ikibidi ujikamuwe wenyewe kupata maji ya ziada kuweza kuitoa kafeina hii uliyoinywa kwa kisingizio cha chai, kahawa au soda.

Madhara yake ni nini?, Moja; k**a unakunywa kinywaji na muda si mrefu unalazimika kwenda kukitoa inamaanisha kinywaji hicho hakikutumika vema na mwili. Pili; kumbuka ulikunywa kikombe kimoja na umeenda kutoa viwili, hivyo umekopwa maji mwilini mwako na ukumbuke kuwa MAJI NI UHAI.
》KAFFEINA HUSABABISHA KANSA.

Seli ndani ya mwili lazima zibaki katika kiasi kidogo cha alkalini kutoka 7.2 mpaka 7.4, wakati 7.0 ni ya kati au husemwa sifuri katika kipimo cha PH (potential hydrogen). Chini ya 7.0 ni asidi na juu ya 7.0 ni alkalini. Kafeina yenyewe ni asidi, hivyo ikiwa mtu anafanya chai au kahawa ndivyo vinywaji vyake vya kila siku basi mtu huyo lazima atakuja kupatwa na kansa katika siku za usoni kwakuwa seli za kansa huishi katika hali ya uasidi pekee na kafeina ndimo mazingira mazuri ya kuishi asidi.

Jarida moja la afya la Uingereza, ‘The British Medical Journal Lancet’, limeripoti uhusiano mkubwa uliopo baina ya utumiaji wa kahawa na kansa ya kibofu cha mkojo na kupungua kwa uzarishwaji wa mkojo.

》KAFFEIN HUCHANGIA UPOTEVU WA MADINI NA VITAMIN MHIMU MWILINI

Kafeina ambayo ni kikojoshi, huyalazimisha maji kukimbia nje ya mwili kwa haraka na kuziacha seli bila muda wa kutosha kuyatumia maji hayo, maji yanapokimbia kwa haraka nje ya mwili huyakimbiza pia madini mhimu nje ya miili yetu.

》KAFFEIN HUSABABISHA KISUKARI.

Mwili una vyanzo 3 vya nguvu ambavyo ni Sukari, Mafuta, na Maji/Chumvi. Tumesema kaffeina ni kikojoshi, hivyo kaffeina hupelekea upotevu usio wa lazima wa maji mwilini, mwili unapokosa maji k**a chanzo chake cha nguvu, moja kwa moja huhamia kuitegemea sukari k**a chanzo chake cha nguvu na mwishowe kisukari lazima kitokee.

》UCHOVU SUGU

Wapenzi wengi wa chai ya rangi na kahawa mara nyingi wanapojisikia uchovu hukimbilia kikombe cha kahawa au chai. Kaffeina iliyomo katika chai au kahawa huenda kuiamsha na kuitumia nguvu iliyokuwa imehifadhiwa na mwili kwa ajili ya matendo ya dharura na kukuacha wewe ukiwa huna nguvu ya ziada kwa ajili ya kazi za dharura, matokeo yake ni mwili unakuwa upo katika hali ya msukosuko muda wote.

Utolewaji wa sukari iliyokuwa imehifadhiwa, kunapelekea mfadhaiko mkubwa kwenye mfumo wa dharura wa mwili. Unaposh*tushwa kidogo tu, unakuwa na nguvu za haraka (Unahamaki) kushughurika na tatizo. Hali hii hatimaye inaweza kupelekea kukauka kwa tezi ya adreno kutakakosababisha damu chache yenye sukari (hypoglycemia), udhaifu, na kuumwa sana iwapo sukari haitachukuliwa mapema kupandisha juu damu sukari.

Kwa sababu ya biashara kuunda vyakula vyetu vyote maalumu na vinywaji vyenye radha mpya, radha nzuri na nguvu ya kutosha kwa kutumia kafeina toka katika mimea na mitishamba k**a vile ginseng kuisisimua tezi ya adreno, kunasababisha Ini kutoa sukari iliyokuwa imehifadhiwa mwilini kwa ajili ya matumizi yake ya dharura.

Hakuna nguvu iliyomo kwenye kafeina au ginseng. Kuna majina mengine mengi ya visisimuwaji hivi k**a vile, kokwa za guru, kokwa za cola na mfalme wa yote ni guarana. Mbegu za guarana zina kiasi cha kafeina mara tatu zaidi ya zile za kahawa, na hawatakiwi kuliorodhesha neno kafeina kwenye vifungashio (packages) au kontena.

Ungaunga wa guarana hutumika kutengenezea vidonge vya kupunguza uzito kwa sababu kafeina itazisambaratisha hisia za njaa, lakini hakuna mahala neno kafeina linaonekana kwenye vifungashio vya dawa hizi.

Kuna mimea, kokwa na kemikali nyingi ambazo zitaisisimua tezi ya adreno na kusababisha ini kuitoa sukari iliyokuwa imehifadhiwa au hata kuitengeneza toka tishu za mwili wenyewe ‘(gluconeogenesis)’.

Imethibitika pia kuwa kafeina imekuwa ikiingilia na kuathiri unakilishaji wa kinasaba (DNA), namna ambavyo seli mpya hutengenezwa. Kafeina inaweza kusababisha upotevu toka mwilini wa vitamini nyingi za kundi B, kundi C, zinki, potasiamu na madini mengine. Kahawa huongeza hali ya uasidi kwenye utumbo mdogo.

Kafeina inaweza kusababisha msukosuko ndani ya mwili.
Kafeina siyo kwamba tu huimaliza nguvu iliyokuwa imehifadhiwa kwenye ubongo, bali pia huzuia mfumo vimeng’enya katika kutengeneza kumbukumbu kwenye ubongo.

Kituo cha Sayansi kwa maslahi ya umma (Center for Science in Public Interest) kimewashauri kinamama wajawazito kukaa mbali na kafeina kwa kuwa tafiti zimeonesha kwamba kiasi cha kafeina kilichomo kwenye vikombe 4 vya kahawa kwa siku kinaweza kusababisha matatizo wakati wa kujifungua k**a yalivyoonwa katika majaribio kwa wanyama.

‘Madawa na wewe’, kwa mjibu wa Dr. Earl Mindell, mwandishi wa kitabu; ‘Earl Mindell’s New Vitamin Bible’ (zaidi ya nakala milioni 10 zimeuzwa), anasema katika ukurasa wa 414 wa kitabu hicho kuwa ‘kafeina ni dawa yenye nguvu kubwa, uwezekano ni kuwa, hauifurahii tu kahawa au cola yako ya kila siku, bali umekuwa mtegemezi au teja (addicted) wa hiyo kafeina’.

Madhara ya chai ya rangi na kahawa mwilini ni mengi sana na tatizo moja litapelekea lingine na orodha inakuwa haiishi.

Namna ya kuepuka kaffeina kwenye kahawa na chai:
Badala ya kutumia majani hayo ya chai meusi, wewe chemshia maji yako changanya na UPANJE SOYA BEAN TEA kukamilisha chai yako;

Kwahiyo unapoinywa UPANJE SOYA BEAN TEA siyo tu unaepuka madhara ya kaffeina peke yake, bali pia unapata faida nyingi katika kujenga mwili
kwa mawasiliano
0657888494/0623345501
[email protected]
Tupo Dar es salam Tegeta

K**a unataka kufanya biashara wasiliana nasi #

Leaking someone mind
04/02/2021

Leaking someone mind

29/01/2021

UGALI, Ni miongoni mwa chakula kikuu sana katika kaya nyingi san Tanzania. unga mwingi huandaliwa kwa kukobolewa na kusafishwa na pia kusagwa na kutoa unga mweupe. kulingana na mitazamo ya macho na ladha wengi wanaamini ugali huo ni mzuri na unafaa kuliwa.
ulaji wa ugali wa sembe hauna faida yeyote mwilini maan hauna virutubisho kwa sababu viliondolewa wakati wa kukobolewa na virutubisho muhimu vya mahindi vipo kwenye kiini chake na unavyo kiondoa unaondoa na virutubisho vyake ,ndio maan hata panya hawali mahindi yalio KOBOLEWA
USHAURI:Tujitahidi kutumia vyakula vya nafaka nzima kwa ajili ya kujenga Afya zetu na Wengi wanadhani Dona ni kwa wale masikini hii sio kweli ,tutumie nafaka nzima kwa ajili ya kujenga Afya .Ukitaka kujua gharama za Afya ni pale unapo umwa
"Nafaka nzima ni zawadi kwetu"
kwa ushauri na maoni
0657888494/0623345501
[email protected]
pia follow insta:upanjeonline
Tegeta boko msikitini ,bagamoyo road

kwa umoja wetu tuijenge nchi yetu
02/12/2020

kwa umoja wetu tuijenge nchi yetu

ENJOY DECEMBER DISCOUNT 25%
01/12/2020

ENJOY DECEMBER DISCOUNT 25%

Upanje inaungana nawe kujenga na kujari Afya yako kwa sababu wew ni wa thamani karib kwa jumla na rejareja pia k**a unat...
29/11/2020

Upanje inaungana nawe kujenga na kujari Afya yako kwa sababu wew ni wa thamani
karib kwa jumla na rejareja pia k**a unataka kuwa wakala karibu san 0657888494
gluten free ,Natural and superfood

26/11/2020

awe na nia ya kufanya kazi
elimu sio kigezo

Siku zote hakuna hatua mpya ambayo ni rahisi. Ulipo leo ni rahisi ya unapokwenda kesho. Hakikisha unaitendea haki leo ya...
26/11/2020

Siku zote hakuna hatua mpya ambayo ni
rahisi. Ulipo leo ni rahisi ya
unapokwenda kesho. Hakikisha
unaitendea haki leo yako.
KARIBUNI SAN

Address

Tegeta

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Upanje Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Upanje Tanzania:

Share

Category