Uvccm sigara_Dsm

Uvccm sigara_Dsm Ukurasa rasmi wa umoja vijana chama Cha mapinduzi tawi la sigara Dar es salaam TEMEKE.

*🛑 SENETI YA VYUO NA VYUO VIKUU (M) DAR ES SALAAM _ TANZANIA 🇹🇿**🚦DAR ES SALAAM STAND UP 🥳🥳🥳**🗓️ DECEMBER _ 2023**🛑 _MZI...
07/12/2023

*🛑 SENETI YA VYUO NA VYUO VIKUU (M) DAR ES SALAAM _ TANZANIA 🇹🇿*

*🚦DAR ES SALAAM STAND UP 🥳🥳🥳*

*🗓️ DECEMBER _ 2023*

*🛑 _MZIZIMA_ _ _TANZANIA_ 🇹🇿*

*🛑 WASOMI WA MZIZIMA TUMESHINDWA KUKAA KIMYA _ MCHEZA KWAO HUTUZWA TUNA JAMBO LETU KUBWA NA MAMA 🚦*

🌟Kwa dhati kubwa *SENETI YA VYUO NA VYUO VIKUU (M) DAR ES SALAAM* Chini ya Mwenyekiti NDUG: PASCRATES ALBINUS MWEMEZI _ Tunakushukuru Sana Mwenyekiti wa CCM na MHE: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania *Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN*

🌟Tunajivunia wewe, Tunajivunia Uongozi wako na jitihada zote za Serikali yako.

🚦ASANTE MAMA DKT SAMIA SULUHU HASSAN KWA JITIHADA ZAKO KUBWA KUINUA ELIMU NCHINI TANZANIA

na kujenga ujamaa
Tunasimama Na Dkt SAMIA SULUHU HASSANI

26/11/2023
*KIPENGA KIMELIA UCHAGUZI WA CHIPUKIZI WA CCM NGAZI YA TAIFA*📍UVCCM HQ. 🗓 Novemba 19, 2023.Mwenyekiti wa Chipukizi wa CC...
19/11/2023

*KIPENGA KIMELIA UCHAGUZI WA CHIPUKIZI WA CCM NGAZI YA TAIFA*

📍UVCCM HQ.
🗓 Novemba 19, 2023.

Mwenyekiti wa Chipukizi wa CCM Taifa *Ndg. Yusuph Haji KASHMIR,* anawatangazia watato wote wenye Sifa na Vigezo vya kikanuni vya kugombea Nafasi mbalimbali za Uongozi wa Chipukizi wa CCM ngazi ya Taifa kujitokeza kwa wingi kuchukua fomu na kurejesha kuanzia tarehe 20/11/2023 hadi 4/12/2023.

NAFASI ZINAZOGOMBEWA
✍ Mwenyekiti wa Chipukizi wa CCM Taifa.
✍ Makamu Mwenyekiti wa Chipukizi wa CCM Taifa.
✍ Wajumbe wanne (4) wa Kamati ya Uendeshaji ya Chipukizi wa CCM Taifa (wawili Tz. Bara na wawili Zanzibar)
✍ Wajumbe watatu wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Taifa (wawili kutoka Tz Bara na mmoja kutoka Zanzibar)
✍ Wajumbe wawili wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa (mmoja kutoka Tz Bara na mmoja kutoka Zanzibar)

TUKUTANE DODOMA CHIPUKIZI WA CCM TUNAJAMBO LETU MWEZI DISEMBA




TUNAKUUNGA MKONO
10/11/2023

TUNAKUUNGA MKONO

*UVCCM TAIFA**NOVEMBA 10, 2023**MBEYA**PICHA NA MATUKIO MBALIMBALI*Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM *Nd...
10/11/2023

*UVCCM TAIFA*
*NOVEMBA 10, 2023*
*MBEYA*

*PICHA NA MATUKIO MBALIMBALI*

Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM *Ndg. Faki Raphael Lulandala (Mnec)* Mkoani Mbeya ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake ya kutembelea Makundi ya Vijana na Kufanya Kikao Kazi na Watendaji wa UVCCM Wilaya na Mikoa ya Mbeya, Rukwa na Songwe.

Heri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa kwako Mjumbe Wa halmashauli ya ccm Kata ya Yombo vitukaHappy birthday
10/11/2023

Heri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa kwako Mjumbe Wa halmashauli ya ccm Kata ya Yombo vituka
Happy birthday

*📌UVCCM TAIFA**📅10 NOVEMBA, 2023.**📍Mbeya.**_Hodiiiii Mbeya....!!.🌾🌾🌾🌾_**🌍NDUGU LULANDALA KUTUA NDANI YA JIJI LA MBEYA L...
10/11/2023

*📌UVCCM TAIFA*
*📅10 NOVEMBA, 2023.*
*📍Mbeya.*

*_Hodiiiii Mbeya....!!.🌾🌾🌾🌾_*

*🌍NDUGU LULANDALA KUTUA NDANI YA JIJI LA MBEYA LEO.*

Ni leo Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM *Ndg. Fakii Raphael Lulandala (Mnec)* anatarajia kutua ndani yaJiji la Mbeya wakulima wa Super Mchele🌾🌾🌾 nchini Tanzania.

Ikumbukwe, huu ni muendelezo wa ziara ya Kikazi aliyoianza Tarehe 27 Oktoba, 2023 Mkoani Dodoma ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM *Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC)* aliyoyatoa Dar es Salaam Tarehe 20 Octoba, 2023.

Watu wa Mbeya kaeni Mkao wa kulaaaa huyu ndiye Fakii Raphael Lulandala anaunguruma nchi nzimaaaaaa....

Hiii Imeeeendaaaaa.....✈️✈️✈️✈️




UVCCM TAIFA08 NOVEMBA, 2023📍Marrakesh, MoroccoRAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA UCHUMI AFRIKARais wa Jamhuri...
08/11/2023

UVCCM TAIFA
08 NOVEMBA, 2023
📍Marrakesh, Morocco

RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA UCHUMI AFRIKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Afrika unaofanyika Marrakesh nchini Morocco tarehe 08 Novemba, 2023.





UVCCM TAIFA📅8 Novemba, 2023.📍SONGEA - RUVUMAKatibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Ndg. Fakii Raphael Lulandala (Mnec)  a...
08/11/2023

UVCCM TAIFA
📅8 Novemba, 2023.
📍SONGEA - RUVUMA

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Ndg. Fakii Raphael Lulandala (Mnec)  amefanya Kikao Kazi Maalumu na Watendaji wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM wa Wilaya na Mikoa ya Ruvuma na Njombe ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Mwenyekiti ya Umoja wa Vijana wa CCM Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC)  aliyoyatoa Dar es Salaam Tarehe 20 Octoba, 2023.

Kikao hicho kimefanyika leo 8 Novemba, 2023 Ukumbi wa Mkutano UVCCM-RUVUMA




Karibu Mama Nzega!1. Jengo Jipya la Halmashauri.2. Hospitali Mpya ya Wilaya hospital🏥.3. Chuo cha Ualimu Ndala.4. Vituo ...
17/10/2023

Karibu Mama Nzega!

1. Jengo Jipya la Halmashauri.
2. Hospitali Mpya ya Wilaya hospital🏥.
3. Chuo cha Ualimu Ndala.
4. Vituo vya Afya hospital🏥.
5. Vyumba vya Madarasa🏫.
6. Sekondari Mpya🏫.
7. Umeme vijiji vyote💡.
8. Mawasiliano ya Simu Vijijini🗼.
9. Barabara Vijijini🛣️.
10. Mbolea za Ruzuku na Mbegu Bora🌱 .
11. Maji ya Ziwa Victoria 💦.
12. Mahindi ya Bei Nzuri🌽.
13. Reli ya SGR🚡.
14. Safari za Ndege Tabora🛫.

Ahsante Mama Samia.

Address

Daresalaam
Temeke

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uvccm sigara_Dsm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share