Itete Primary School Alumni Association

Itete Primary School Alumni Association Is the association which brings together graduates of ITETE primary school from different parts of All these informational details can be sent to our email.

Are you a graduate of Itete primary school If YES, you are, by virtue of this, a member of Itete primary school alumni association and, as such, you have a stake in the affairs of your school

Itete primary school alumni would like to keep close contact with you and to send you information about what is currently happening at your School as well as regarding other school graduates. To provide you

with such information, we request you to provide us with your current contact and any other useful information by either writing to us, giving your surname first and then given name; your gender; marital status if you wish; your current job and your work base - in Tanzania or outside; your year of graduation any other academic or professional qualifications; your postal address, email, telephone and fax number. We believe you would like to give us any information of interest to your alma mater (for instance about your experiences and achievements, your latest promotion, professional status, etc). Remember to visit this page regularly for any hot news and events to tell a friend who is a graduate of this school or its predecessors about the association and to encourage him or her to join us.

29/12/2021

Mbeya, Tanzania, familyreunion, Matemabeach, Kisibacampsite, mbeyariftvalleyviewingpoint

03/04/2017

Tourist information centre

Wana alumni ambao ukiwatizama leo huwezi kudhani k**a ndio hawa. Hii ni siku ya mahafali wahitimu wa 2005 wakitumbuiza k...
20/04/2015

Wana alumni ambao ukiwatizama leo huwezi kudhani k**a ndio hawa. Hii ni siku ya mahafali wahitimu wa 2005 wakitumbuiza katika ngoma, unakumbuka nini miaka hiyo?

Hii ni moja kati ya picha ambayo wana alumni walipiga kipindi wako shuleni itete. Je wadau hawa ni kina nani?Kumbukumbu ...
18/04/2015

Hii ni moja kati ya picha ambayo wana alumni walipiga kipindi wako shuleni itete. Je wadau hawa ni kina nani?
Kumbukumbu ya itete ps

22/03/2015

To join the Alumni Association, complete and submit the form below. All fields are required.

21/03/2015

ITETE ALUMNI ASSOCIATION
TAARIFA FUPI YA UTENDAJI.
Tunamshukuru Mungu ambaye ametukutanisha tena kupitia umoja huu. Tunajua ni muda mrefu umepita tangu baadhi yetu tuhitimu na kwa nyakati tofauti, lakini umoja huu umefufua mahusiano na ukaribu wetu ambao ulikuwa ukififia siku hadi siku.

Taarifa hii imegawanyika katika sehemu kuu tano;
1. Malengo
2. Mafanikio
3. Changamoto
4. Matarajio
5.Hitimisho

1.MALENGO
Tulipoanzisha umoja wetu tarehe 16/01/2015 na kuchagua viongozi wetu wa muda, tuliweka malengo kadhaa yakiwemo haya yafuatayo;
>kutembelea shule yetu mara mbili kwa mwaka
>kukumbukana na kusaidiana katika nyakati zote(furaha na huzuni)
> kupanua uwanja wa mawasiliano kwa kuwa na page Facebook na group watsap
>kuwatembelea walimu wastaafu

2. MAFANIKIO
Tunamshukuru Mungu ametuwezesha kufanikisha haya machache ndani ya kipindi hiki;
>Tumefanikiwa kuitembelea shule yetu mara moja. Shukrani za pekee kwa ndugu zetu waliotuwakilisha katika hili
>Tumefanikiwa kwenda kughani msiba wa ndugu yetu kipenzi marehemu BARAKA MWAKAJILA
>Tumefanikiwa kufungua page ili kupanua wigo wa mawasiliano na kufanya umoja ujulikane hata na wale ambao hawako what's app
>Tumefanikiwa kuwatembelea walimu wote wastaafu wakiwemo mwasumbwe, mwamaso, mwakasitu, igumi na mwalumuli.

3. CHANGAMOTO
Daima mwanzo ni mgumu, na kwakuwa umoja wetu ndo unaanza tumekumbana na changamoto kadhaa mpaka sasa lakini hatukati tamaa maana tunajua ugumu wa kuasisi jambo ndo mafanikio makubwa ya baadaye. Miongoni mwa changamoto hizo ni pamoja na
>Tofauti ya ratiba za kazi na masomo miongoni mwa wanachama jambo ambalo linafanya baadhi ya wanachama kukosa matukio na vikao muhimu
>kukosekana kwa vyanzo mbadala vya mapato ili kupunguza mzigo kwa wanachama

4. MATARAJIO
Tunatarajia kuwa na ziara nyingine ya kuitembelea shule yetu katika mwezi wa tisa (September), ili watu wengi wapate nafasi ya kushiriki maana tunaamini kuwa walio masomoni, mwezi huo wengi watakuwa likizo. Na tayari vikao vya maandalizi vimeanza.

5.HITIMISHO
Mwisho tunapenda kuwashukuru tena wanachama kwa ushirikiano wenu ambao umetufikisha hapa tulipo.
Hu ni mwanzo wa safari yetu hivyo tunaomba ushrikiano wenu zaidi. Hiyo ziara ya September naomba tujitoe kwa michango na kutenga muda wetu kwenda itete. Tunatamani tuende wengi kadri iwezekanavyo.
Uongozi unawatakienyi nyote majukumu mema, mkono wa Mungu usipungue juu ya kila mgusalo! Asanteni

Imeandaliwa na uongozi wa ITETE PRIMARY SCHOOL ALUMNI

Tulipokuwa tunafika kwa mwalimu mwalumuli, kiukweli alifurahi sana tena sana. Tumepiga sana story akakumbushia mengi ya ...
14/03/2015

Tulipokuwa tunafika kwa mwalimu mwalumuli, kiukweli alifurahi sana tena sana. Tumepiga sana story akakumbushia mengi ya nyuma pia tukamkumbusha mengi tukaishia kufurahi pamoja, hatuna la ziada tunawapenda sana walimu wetu Mungu awape maisha marefu

Tulifurahi sana kuwaona wapendwa wetu ikatubidi tukae katika moja ya viunga ili kuweza kushare mawili matatu. Tunawapend...
01/03/2015

Tulifurahi sana kuwaona wapendwa wetu ikatubidi tukae katika moja ya viunga ili kuweza kushare mawili matatu. Tunawapenda sana tunaisubiri awamu ya pili ya mwezi wa tisa.

We had northing to give them, ila tukaona tuwasalimu, tuwashike mikono kisha tupige story. Tunawapenda sana WALIMU NA WA...
28/02/2015

We had northing to give them, ila tukaona tuwasalimu, tuwashike mikono kisha tupige story. Tunawapenda sana WALIMU NA WANAFUNZI WA ITETE

Tupende kutoa shukrani za dhati kwa uongozi wa shule yetu, bodi ya  shule,mkuu wa shule  MLM MWASIMANGA na walimu wote k...
26/02/2015

Tupende kutoa shukrani za dhati kwa uongozi wa shule yetu, bodi ya shule,mkuu wa shule MLM MWASIMANGA na walimu wote kwa kazi mfanyazo na pia kwa kutupokea tulipofika kuitembelea shule yetu. Katika picha no 1, ni walimu event zikiendelea lakini picha no 2 ni picha ya pamoja walimu na wawakilishi wa itete alumni.

Tupende kutanguliza Shukrani za dhati kwa HAKI ELIMU Dar es salaam, kwa msaada wa hali na mali katika kufanikisha maleng...
23/02/2015

Tupende kutanguliza Shukrani za dhati kwa HAKI ELIMU Dar es salaam, kwa msaada wa hali na mali katika kufanikisha malengo yetu kwa kutupa vitu vifuatavyo ili kusaidia walimu na wanafunzi katika shule ya msingi Itete.

1. Broken promises in primary education copy 44
2. Ugawaji wa walimu wapya je umezngatia mahtaj 66
3. Unafany nn kuboresha elimu 25
4. Mwaka mmoja wa matokeo makubwa sasa je unatekelezwa ipasavyo 50
5. Kuboresha shule zetu 59
6. Ahadi za serikali 2015/2014 copy 29
7.nyarere kuhusu elimu vitabu 15
8. Ruzuku ya wanafunzi 96
9. Kalenda 77.
10. Radio ya solar 1

Safari yetu ya kutoka TUKUYU MJINI kuelekea ITETE ilikuwa hivi mara baada ya kufika maeneo ya NSYASYA tukakuta wanatenge...
22/02/2015

Safari yetu ya kutoka TUKUYU MJINI kuelekea ITETE ilikuwa hivi mara baada ya kufika maeneo ya NSYASYA tukakuta wanatengeneza barabara na bahati mbaya mvua ikanyesha ikatubidi kushuka na kusukuma gari maana ilikuwa inakwama kwa sababu ya matope.

Address

170
Tukuyu

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Itete Primary School Alumni Association posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Itete Primary School Alumni Association:

Share