Zanzibar Communication Corporation

Zanzibar Communication Corporation Zanzibar Communication Corporation (ZICTIA) established under Act no 4 of 2023.

Hongera Mhe. Deogratius John Ndejembi kwa kuteuliwa na kuapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
30/08/2026

Hongera Mhe. Deogratius John Ndejembi kwa kuteuliwa na kuapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Shirika la Mawasiliano Zanzibar (ZICTIA) limefanya kikao maalumu na watendaji kutoka Afisi ya Msajili wa Hazina Zanzibar...
26/08/2026

Shirika la Mawasiliano Zanzibar (ZICTIA) limefanya kikao maalumu na watendaji kutoka Afisi ya Msajili wa Hazina Zanzibar kilichofanyika katika ofisi kuu za ZICTIA Mazizi-Zanzibar.

Kikao hicho kililenga zaidi katika ufuatiliaji wa ripoti ya mkataba wa utekelezaji (Performance Contract).

Ufuatiliaji huo umesaidia katika kutathmini mafanikio, kibaini maeneo ya maboresho na kuimarisha uwajibikaji katika utekelezaji wa majukumu.

Shirika la Mawasiliano Zanzibar (ZICTIA) linawatakia heri ya Siku ya Maulid ya Mtume Muhammad (SAW).
25/08/2026

Shirika la Mawasiliano Zanzibar (ZICTIA) linawatakia heri ya Siku ya Maulid ya Mtume Muhammad (SAW).

ZICTIA inapenda kutoa salamu za shukrani kwa wale wote walioungana na sisi katika kufanikisha maonesho ya wakulima (Nane...
16/08/2026

ZICTIA inapenda kutoa salamu za shukrani kwa wale wote walioungana na sisi katika kufanikisha maonesho ya wakulima (Nane Nane) yaliyofanyika Dole - Zanzibar kuanzia tarehe 1 - 16.08.2026.

Viongozi wa serikali na wananchi mbalimbali wakisaini kitabu cha wageni baada ya kupata elimu  wakati walipotembelea kat...
15/08/2026

Viongozi wa serikali na wananchi mbalimbali wakisaini kitabu cha wageni baada ya kupata elimu wakati walipotembelea katika banda letu la Shirika la Mawasiliano Zanzibar - ZICTIA katika maonesho ya nane nane yanayoendelea huko Dole - Zanzibar.

ZICTIA imeendelea kujumuika na wananchi katika kuadhimisha sikukuu ya wakulima (Nane Nane) kwa kuendelea kutoa uelewa, e...
14/08/2026

ZICTIA imeendelea kujumuika na wananchi katika kuadhimisha sikukuu ya wakulima (Nane Nane) kwa kuendelea kutoa uelewa, elimu na ushauri wa kitaalamu kwa wananchi waliofika kwenye banda letu la Shirika la Mawasiliano Zanzibar.

Karibu katika Banda letu la Shirika la Mawasiliano Zanzibar - ZICTIA kwenye maonesho ya Nane Nane yanayoendelea huko Dol...
13/08/2026

Karibu katika Banda letu la Shirika la Mawasiliano Zanzibar - ZICTIA kwenye maonesho ya Nane Nane yanayoendelea huko Dole - Zanzibar.

12/08/2026

Karibu Shirika La Mawasiliano Zanzibar - ZICTIA kwa Huduma bora, Salama na Uhakika.


ZICTIA ikiwa katika kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi wanaofika katika Banda lake katika maonesho yanayoendelea h...
12/08/2026

ZICTIA ikiwa katika kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi wanaofika katika Banda lake katika maonesho yanayoendelea huko Dole - Zanzibar.

Address

Mazizini Zanzibar
Zanzibar City

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zanzibar Communication Corporation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Zanzibar Communication Corporation:

Shortcuts

Share