Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar

Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar ilianzishwa Julai, 2002 kufuatia marekebisho ya nane ya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.

11/08/2026
MAKAMU WA Pili wa Raisi wa Zanzibar,Hemed Suleiman Abdulla akibonyeza Kitufe kuashiria Uzinduzi  wa miongozo ya uendesha...
15/07/2026

MAKAMU WA Pili wa Raisi wa Zanzibar,Hemed Suleiman Abdulla akibonyeza Kitufe kuashiria Uzinduzi wa miongozo ya uendeshaji wa kesi za jinai katika hafla ya maadhimisho ya miaka tangu kuanzishwa kwa Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar yaliyofanyika katika ukumbi wa Madinatul Bahari Mazizini Zanzibar

08/07/2026

Maadhimisho ya Miaka 24 kuazishwa AFISI YA MKURUGENZI WA MASHTAKA ZANZIBAR

13/05/2026

12/5/2026
WILAYA YA MAGHRIBI U UNGUJA
MAFUNZO YA MANUNUZI NA MIKATABA …………… AFISI YA MKURUGENZI WA MASHTAKA ZANZIBAR
Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Ndugu MGENI JAILANI JECHA amewataka watendaji wa Taasisi za SMZ na za Umma kujifunza kwa Uweledi mafunzo ya muda mfupi yenye lengo la kuwasaidia katika kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
Akizungumza na washiriki kutoka Taasisi mbali mbali za SMZ na umma huko katika kituo cha mafunzo ya sheria na utafiti Zanzibar Mwanakwerekwe, amewataka washiriki hao kuyatumia mafunzo hayo ili kuweza kujiogezea elimu katika kazi zao.
Clip...
Akizungumza na washiriki hao mkuu wa mafunzo SULEIMAN YUSSUF ALI amesema lengo la mafunzo hayo ni kutoa elimu kuhusiana na sheria za manunuzi pamona na usimamizi wa mikataba ya serikali kwa watendaji hao ili iweze kuwasaidia katika utendaji wa kazi zao.
Clip...
Mafunzo hayo ya wiki mbili yanayohusu Sheria za Manunuzi pamoja na usimamizi wa mikataba yameandaliwa na kituo cha sheria na utafiti kwa watendaji serikali na taasisi za Umma kwa lengo la kuwaongezea uelewa watendaji wake.

Kituo cha Mafunzo ya Sheria na Utafiti Zanzibar kimefanya ziara maalumu ya kuwatembelea watoto yatima katika kituo cha Z...
18/03/2026

Kituo cha Mafunzo ya Sheria na Utafiti Zanzibar kimefanya ziara maalumu ya kuwatembelea watoto yatima katika kituo cha ZASO Fuoni, wilaya ya Magharibi "B" Unguja. Lengo la ziara hiyo ni kuwapa elimu juu ya sheria na kuwakabidhi sadaka ya fedha taslimu.

Wafanyakazi wa Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka wakishiriki katika Mafunzo ya Huduma ya Afya kuhusu wanufaika wa Mfuko wa...
13/03/2026

Wafanyakazi wa Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka wakishiriki katika Mafunzo ya Huduma ya Afya kuhusu wanufaika wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Zanzibar yaliyotolewa na Maafisa kutoka Mfuko wa Afya ZHSF yaliyofanyika katika Afisi hiyo Miembeni

13/03/2026

Wafanyakazi wa Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka wakishiriki katika Mafunzo ya Huduma ya Afya kuhusu wanufaika wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Zanzibar yaliyotolewa na Maafisa kutoka Mfuko wa Afya ZHSF yaliyofanyika katika Afisi hiyo Miembeni

Washiriki wa Mafunzo ya Vitendo ya Ushughulikiaji wa Majalada ya kesi “CASE FILE MANAGEMENT” yaliyowashikisha watendaji ...
25/02/2026

Washiriki wa Mafunzo ya Vitendo ya Ushughulikiaji wa Majalada ya kesi “CASE FILE MANAGEMENT” yaliyowashikisha watendaji kutoka kada za Masjala, TEHAMA pamoja na wakuu wa Idara kutoka ZAECA na Mamlaka ya kuzuia Madawa ya Kulevya.Kikao kilichofanyika Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Miembeni Unguja

Address

Miembeni Street
Zanzibar City

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar:

Share