25/03/2022
Allah Amrehemu Maalim Seif. Leo Mahakama ya Afrika Mashariki imetoa hukumu ya Kesi aliyoifungua yeye, Zitto Kabwe, Freeman Mbowe, Salim Mwalimu, Hashim Rungwe & kupinga Sheria ya Vyama vya Siasa. Mahakama imetamka Sheria hiyo inakiuka Mkataba wa Afrika Mashariki.