Kitengo cha Elimu ya Afya Zanzibar

Kitengo cha Elimu ya Afya Zanzibar Karibu sana katika ukurasa Rasmi wa Kitengo cha Elimu ya Afya Zanzibar (Zanzibar Health Promotion Unit - HPU) kilicho chini ya Wizara ya Afya Zanzibar

  mubarak
04/09/2026

mubarak

31/08/2026

26/08/2026

11/08/2026
Mkuu wa kitengo cha Elimu ya Afya Zanzibar, Dr. Gora Faki Haji  akisaini kitabu cha wageni alipo tembelea banda la Wizar...
10/08/2026

Mkuu wa kitengo cha Elimu ya Afya Zanzibar, Dr. Gora Faki Haji akisaini kitabu cha wageni alipo tembelea banda la Wizara ya Afya huko Dole Kizimbani katika maonesho ya Nane Nane Wilaya ya Magharib A Unguja.

Wizara ya Afya Ikiendelea kutoa Elimu ya Afya juu ya magonnjwa mbali mbali ya mripuko pamoja na kutoa huduma za kupima A...
08/08/2026

Wizara ya Afya Ikiendelea kutoa Elimu ya Afya juu ya magonnjwa mbali mbali ya mripuko pamoja na kutoa huduma za kupima Afya k**a vile presha na kisukari katika Viwanja vya maonesho ya Nane Nane huko Dole Wilaya ya Magharib A

Wizara ya Afya Zanzibar ikiendelea kutoa elimu ya Afya juu ya maradhi mbali mbali ikiwemo Ugonjwa wa Ebola, Uharo mkali,...
04/08/2026

Wizara ya Afya Zanzibar ikiendelea kutoa elimu ya Afya juu ya maradhi mbali mbali ikiwemo Ugonjwa wa Ebola, Uharo mkali, Lishe pamoja na Kutangaza maendeleo ya wizara ya Afya ambayo yamefanyika katika kipindi cha miaka (5) Katika maonesho ya nane nane huko Dole Wilaya ya Magharib A

18/07/2026

HIGHLIGHTS | Elimu ya Afya kuhusu Ugonjwa wa Ebola katika Bandari bubu (Ngalawa) na Mkuu wa Wilaya Magharib ‘A’

Usisikilize uvumi… Pata taarifa sahihi kutoka kwa wataalamu wa afya.Je, unahitaji kufahamu kuhusu:* Dalili za Ebola* Nam...
07/07/2026

Usisikilize uvumi… Pata taarifa sahihi kutoka kwa wataalamu wa afya.

Je, unahitaji kufahamu kuhusu:

* Dalili za Ebola
* Namna ya kujikinga
* Hatua za kuchukua endapo unamhisi au unamshuku mtu kuwa na Ebola
* Njia za kuzuia maambukizi
* Maswali mengine yoyote kuhusu ugonjwa wa Ebola

📞 PIGA 115 BURE

Kupata taarifa sahihi na ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu wa afya.

Address

Zanzibar City

Opening Hours

Monday 08:00 - 15:30
Tuesday 08:00 - 15:30
Wednesday 08:00 - 15:30
Thursday 08:00 - 15:30
Friday 08:00 - 15:30

Telephone

+255776848365

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kitengo cha Elimu ya Afya Zanzibar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share