Zanzibar Government Printing Press Agency

Zanzibar Government Printing Press Agency Zanzibar Government Printing Press is Zanzibar’s leading specialist in Printing and Office Supplies.

ZGP is an Official recognized Government printer and supplier of office related consumables in Zanzibar, offering wider range of products and related services for Organization’s needs. With an in-depth experience, ZGP offers customized printing solutions, office stationery, office equipment and its consumables.

27/01/2023

Happy birthday mama Samia, President of Tanzania

Uongozi wa Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali kutoka Dar es Salaam Tanzania, leo tarehe 28/11/2022 umetembelea Ofisi za Wakala...
29/11/2022

Uongozi wa Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali kutoka Dar es Salaam Tanzania, leo tarehe 28/11/2022 umetembelea Ofisi za Wakala wa Serikali wa Uchapaji zilizopo Maruhubi Zanzibar. Lengo la ziara hiyo ni kukuza ushirikiano uliyopo baina ya Taasisi hizi mbili pamoja na kupata uelewa wa shughuli za uendeshaji zinazofanyika Wakala.

07/11/2022
AHSANTENIWakala wa Serikali wa Uchapaji Zanzibar (ZGP), umeandaa hafla maalum ya kuwaaga wafanyakazi walio maliza muda w...
07/09/2022

AHSANTENI
Wakala wa Serikali wa Uchapaji Zanzibar (ZGP), umeandaa hafla maalum ya kuwaaga wafanyakazi walio maliza muda wao wa utumishi. Hafla hiyo ilifanyika siku ya Jumatatu, 05-09-2022 katika ukumbi wa ZGP uliopo maeneo ya Maruhubi Zanzibar. Mkurugenzi Mtendaji Nd. Said M. Faki, kwa niaba ya ZGP, alitoa shukurani zake za dhati pamoja na kuwaaasa watumishi hao kua mabalozi huko waendako.

Watumishi walio maliza muda wao ni Nd. Said A. Bakari na Nd. Mcha A. Ramadhan. Vile vile, katika hafla hiyo, kulikua na utoaji wa zawadi mbali mbali kwa wastaafu hao.

KIKAO CHA PAMOJAWakala wa Serikali wa Uchapaji Zanzibar (ZGP) wakishirikiana na Elite Digital Solutions, wamekutana na w...
02/08/2022

KIKAO CHA PAMOJA
Wakala wa Serikali wa Uchapaji Zanzibar (ZGP) wakishirikiana na Elite Digital Solutions, wamekutana na wataka huduma wa ZGP kujadili teknolojia mpya za kiusalama katika masuala ya uchapishaji. Kikao hicho kilifanyika 19/07/2022 katika afisi za ZGP zilizopo Maruhubi, Zanzibar.

Waliohudhuria katika kikao hicho ni pamoja na; Benki ya Watu wa Zanzibar, Bodi ya Mapato Zanzibar, Wakala wa Matukio ya Kijamii Zanzibar, Kamisheni ya Ardhi Zanzibar, Shirika la Bima Zanzibar, Mamlaka ya Usafiri na Usalama Barabarani Zanzibar na Baraza la Mitihani Zanzibar.

Pamoja na mambo mengine, ZGP wamesisitiza juu ya dhamira kuu ya kutoa huduma bora za kiusalama katika sekta ya uchapishaji, Zanzibar na kwengineko.

Address

Malawi Street
Zanzibar City

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 07:30 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 07:30 - 17:00

Telephone

+255778210210

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zanzibar Government Printing Press Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Zanzibar Government Printing Press Agency:

Share