White Talent English Center

White Talent English Center Welcome to learn basic English to our center, have fun with white and black Children who speak Decen

27/11/2020

Heloo

12/04/2020

CHUO kinaweza kuwa CHOO

Mkumbushe ndugu au rafiki yako kuwa maisha ya CHUO ni sawa na BONGO MOVIE watu wengi huigiza. Hata yule wa MBEYA vijijin atasema kwao MWANZA....

1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi...Anaweza somea Ualimu akawa mhudumu wa Bar au boda boda

2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha.wapo watu wenye elimu kumzid yeye ila hawana ajira. Hata wenye ajira bado maisha magumu

3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi.... Wapo walio kuwa wanashika nafas za kwanza darasan ila leo Wanazidiwa uchumi na wenzao walio onekana hawana akili

4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea kijijini au wilaya iliyo duni, tena kule ndanindani... Hivyo asijikweze ili aonekane

5. Mwambie Marafiki wa chuo hubadilika kila baada ya semester. Kuendelea kung'ang'ania wale wa awali ataisoma namba....Akumbuke chuo ndiko mlokole hujifunza kwenda Club..kulewa na kuvaa nguo za ajabu

6. *Mwambie semester1 atakuwa na wapenzi wengi sana ila atumie kinga kwa gharama yoyote ile.* ..k**a ni wak**e akumbuke anasubiriwa na wale wa mwaka wa 2 na 3 ili asajiliwe ktk orodha ya Kontena jipya....

7. Mwambie makundi makundi chuoni humaliza hundi mfukoni... Atapata marafiki wapeta starehe. Pesa zake zitaisha

8. Mwambie Boom huwa linakuja ila Laki5 ya chuoni sio Laki5 ya nyumbani....hela ya chuoni huisha haraka na bila mpangilio hivyo awe makin ktk matumiz yake

9. Mwambie chuoni hakuna. NDOA ila kuna uzinzi.. Hivyo aachane kubeba majukum ya ndoa ikiwa kaenda kusoma. Mwambie kuishi kiunyumba na girl au boy k**a wana ndoa sio ujanja ila ni ulimbuken na kesho ataumbuka

10. Mwambie awe na msimamo na asikurupuke kuanzisha mahusiano chuon ikiwa nyumban ana mtu anae mpenda kwa dhat.. Chuon kuna watu wapo kuharibu Malengo ya wengine awe makin

11. Mwambie wahadhiri (Lecturers) wa kitanzania wanatamaa ya ngono hivyo akiwa mvivu darasan bas atafeli na ili apewe Marks itabid awe tayar kumvulia chupi kila muhadhir ambao weng wao wagonjwa

12. Mwambie Chuoni kuna Makanisa na Misikiti. Wanafunzi ni zaidi ya 1000 lakini waumini ni wachache. Akumbuke kusali.

13. Mwambie k**a ni wa k**e kuwa aridhike na hali ya nyumban. Asifikirie kutafuta SPONSOR ili kupunguza ugum wa maisha .. Atajiingiza ktk matatizo makubwa

14. Mwambie kuwa asiwadharau watu alio soma nao nyuma kisa hawajapata nafas kufika chuo.. Siku akimaliza chuo wapo atao wakuta wana biashara kubwa hivyo kumpa kibarua

15. Mwambie Simu na nguo za gharama ni muhimu lakini sio lazima... Hivyo asipende tumia vibaya pesa ambayo anapewa kwa awamu mana siku atazikumbuka akimaliza masomo

16. Mwambie marafiki wanaokuwa naye kipindi hana hela asiwasahau... Awaepuke marafik wanafik wanao mfundisha kutafuta wanawake au wanaume

17. Mwambie chuoni ni sehemu ya kutengeneza Connection na watu muhimu...akae mbali na watu wasio msaada kwake

18. Mwambie chuoni kuna watumishi wanao jiendeleza..husoma huku wakiendelea kupokea mshahara wengi wao ni waume na wake za watu.. Hawa ndo wanao tumia pesa zao kulaghai mabint na vijana

19.Mwambie pia baada ya kumaliza chuo haina maana amefanikiwa maisha. Hapa ndipo msoto mpya unapoanzia... Anapo waona kaka na dada zake wamemaliza chuo ila wapo tu mtaan asifikir ni wazembe ila usawa na mfumo unabana

20. Mwambie Maisha ni mafupi sana Adumu kumcha Mungu na kufanya mambo mazurii, Lastly Asimdharau mtu yeyote.,....Akumbuke na azingatie kuwa kuna maisha baada ya chuo...

Asijisahau sana maana mtaani kugumu.. Mabinti wenye DEGREE wana amua kuolewa na vibabu nao vijana kutembea na wazee sababu ya kukosa ajira....

Atambua kuwa leo hii dreva boda boda au bajaji ana uhakika wa kuilisha familia yake kila siku kuliko muhitimu wa chuo kikuu. Hivyo asiwe na dharau kuwa hawez olewa na mtu mwenye elimu ya chini

Pia akumbuke sio kila dreva au konda hajasoma..watu wana vyeti vyao na ufaulu mzur

K**a haelewi basi tumuache
Tumsubiri akimaliza.

IKIKUFAA IFANYIE KAZI
MUNGU AWAONGOZE KATIKA NJIA ILYOSAHIHI NA AWAPE UJUZI UTAKAOWASAIDIA ATA K**A WATAKOSA AJIRA.
Ameen..

.

01/10/2019

If you have smartphone you can make $200-$500
Daily.
World wide

18/09/2019

NJIA KUU 4 ZA KUONGEA KIINGEREZA KWA UPOLE (K**A MZAWA WA KIINGEREZA)

HOW TO BE POLITE IN ENGLISH

Lugha na Utamaduni ni vitu ambavyo huwezi kuvitenganisha. Huenda pamoja siku zote. Lugha ya Kiingereza imebeba utamaduni wa Waingereza ambao ni wazawa wa lugha hii. Moja ya utamaduni wa Wazungu ni ‘matumizi ya lugha ya upole’, zile excuse me, sorry, would you mind…, ni kawaida kwao. Ndio utamaduni wao. Katika kipindi cha leo tutagusia njia 4 zitakazokuwezesha kuongea kwa upole katika lugha ya Kiingereza.

[JIUNGE NA KOZI YETU YA MTANDAONI (ONLINE ENGLISH COURSE) KWA MATOKEO BORA]

Four ways to be polite in English

Njia 4 za kuongea Kiingereza kwa upole

Way 1: Try to use modal verbs. Modals are those words like: would, could, might, may. (Kindly refer to the past lesson on ‘modal verbs’)

Njia 1: Tumia modal verbs. Modal verbs ni maneno k**a would, could, might, may, n.k (Tafadhali rejea kwenye notsi zako/pitia post ya modal verbs)

It seems so simple, but using a modal can change a direct, aggressive question into a polite request. They soften your requests, questions, and commands, which mean you won’t sound rude or too direct.
Examples:
• Order me a coffee, please. → would you get me a coffee, please?
• Please leave. I have to take this phone call. → could you step out of the room for a moment? I have to take this phone call.
• Send me those documents before the end of the day. → could you send me those documents by the end of the day?
• I need to borrow your pen for a moment. → May I borrow your pen for a moment?

Yes, it’s that easy. Use modals the next time you send a request to your teacher (Mtaalamu wa Kiingereza), ask for something on the telephone, or when you need something from a friend and you’ll sound more polite!

Way 2: Change your grammar. Sometimes we change our grammar tense to be more polite. In English, the Present Simple Tense can sound direct. To make yourself sound polite, be sure to Change the present tense to the past tense or a progressive (-ing) tense. Your meaning is still in the present, but you change the verb to add softness, to be less direct.

Njia 2: Badili sarufi yako. Muda mwingine inakupasa kubadili muundo wa tense ili lugha yako iweze kuwa ya upole. Present simple tense huonekana k**a lugha ya moja kwa moja na yenye kukera, hivyo unashauriwa kubadili present tense kwenda kwenye past tense au kwenye progressive tense (-ing). Maana yako hubaki vilevile.
TIP: We do this with verbs such as hope, feel, think, want, wonder. For example:
• Do you have time to meet tomorrow to discuss this?
o → I wondered if you had time to meet tomorrow.
o → I was wondering if you had time to meet tomorrow.
o → I’m wondering if you have time to meet tomorrow.
• What is your name? →What did you say your name was?
• I’d like to finish this meeting by 4:00 p.m. → I was hoping to finish this meeting by 4:00 p.m.
• Can I ask a question about the agenda? –> I wanted to ask a question about the agenda.
• I think you need help with the deadline. → I thought you might like some help with the deadline.

Way 3: You are advised to use Vague Language. Vague language means not too specific or too direct. We often use expressions such as: a bit, around, kind of, -ish, a few, quite, slightly, a little, etc. We use these expressions – or qualifiers – to provide less direct information, for example with times or quantities.

Way 3: Unashauriwa kutotumia lugha maalumu sana (specific), tumia baadhi ya vionjo vinavyopatikana katika lugha isiyo rasmi (informal). Maneno k**a a bit, around, kind of, a few, quite, slightly, a little, n.k hutumika kupunguza ukali wa maneno.
Examples:
• I’d like you to spend around 4 hours to get this project completed. If you can’t complete it by then, let’s talk so we can make necessary changes.
• Why don’t you come to my office at 2:00-ish ( = around 2:00) for a quick meeting.
• That’s not quite what I had in mind. What if we made a few changes?
• That estimate is a bit high, don’t you think?

Way 4: Use Negative Questions. For formal conversations, or when you want to be diplomatic, use negative questions to give your advice, make a recommendation, provide a suggestion, express your opinion, or ask a question. Using negative questions softens the language and changes strong language into indirect language.

Njia 4: Tumia maswali ya ukanushi. Matumizi ya maswali ya ukanushi huifanya lugha yako kuonekana laini na isiyokuwa ya shuruti. Tumia maswali ya ukanushi pale unapotaka kutoa ushauri, pendekezo, kutoa maoni yako, na hata kuuliza swali.
Here are a few examples:
• We need to review these documents one more time. →Don’t you think that we should review these figures one last time?
• Yes, we’ve met before. I met you at the conference last year. → Haven’t we met before? I think it was at the conference last year.
• You must consider how the client might respond. → Shouldn’t we consider how the client might respond?

That's what I wanted to share with you in this lesson.
Thanks for reading!

KUMBUKA KUSHARE KWA NDUGU, JAMAA, NA MARAFIKI.

KWA POST ZIJAZO, TAFADHALI 'LIKE' UKURASA HUU K**A BADO HUJAFANYA IVYO.

(KWA MAELEZO KUHUSU KOZI ZETU ZA KIINGEREZA, TUTUMIE UJUMBE KWENYE WHATSAPP NAMBA 0779176710)

14/02/2019

Never make jokes when u learn language.
No body is perfect .
In oder to get along be serious...
lern how to be perfect.

02/02/2019

kiukwel watanzania wameanza kushtuka kuwa ajira ni ngumu na wanaanza kutafta kitu cha tofauti wanacho dhani kinachoweza wafikisha kwenye hatua ya mafanikio.....

hawa ni baadhi tu wananchi wa mkoa wa dar es salam ambao wameitukia wito na kuja kwenye semina zetu na kujiangalizia fursa na wengi wapo tayar kuchangamkia hii fursa so k**a nawe ungependa kuwa nasi mda bado unao... amua sasa kuanza safari yako mpya ya mafanikio nami...

kwa maelezo zaid kuhusu fursa 0779176710/0623967687au dondosha coment huku ukiweka namb zako m ntakuchek

share na wengine ili watanzanie wajue kuwa maishani kuna njoa tofauti za kufikia mafanikio

03/01/2019

Hi I am looking for a team of people who will be enterpreneurs for my business. It isn't a job exactly, but an extra income opportunity.No experience or qualification needed since full free training will be provided. You can do this while studying or working full time or part time. You determine your own hours and days to work. We work online. So I will teach you and assist you. Everything will be explained to you at our offices. But payments are made to your bank account. Yes. You work from home or you can come to the office. You will decide.
What you need: bank account, be reliable, hardworking and be able to work independently.
What you should do, I will tell you that after our business has been explained to you in our next business presentation.
No fees required
If interested please reply with the name of your location
WhatsApp 0779176710
Bantu base kapa nali ithuba loku ngena kuDecember ngestyle.

Are you too busy working yet still struggling to make money?Are you intelligent but still struggling?Are you a businessm...
01/01/2019

Are you too busy working yet still struggling to make money?
Are you intelligent but still struggling?
Are you a businessman but still in heavy debt?
Are you a student but you need money?
Pressured in your current job?
Tired of finding a good good job?
Tired of working abroad?
Here's the reason!
The people in the LEFT Quadrant work hard for ACTIVE Income.
While the people in the RIGHT side work smart & get PASSIVE
Income.
It's mean,even though you work too HARD and very persistence
person,
And you do it until retirement,you will NEVER get rich,I'm not
against
Employment,I'm saying that employment is NOT a good tool to
reach your
Goals and dreams. It's only mindset setting that u need.
Think about what you're good at you may say,"If I only had the
opportunity."
Well,you have to seize the opportunity life is too short for
regrets. What is
Holding you back from accomplishing your dreams? Some of you
may be
Struggling with old though patterns. Begin to tackle those
limitation & live the life you were created to live.
"I studied but I never stopped,but today the topnochers of the
Universities
All over the world are my employees"-BILLGATES
"The rich people build network,everyone else looks for a job"-
ROBERT KIYOSAKI
"If I were not into real estate, I will find myself a good network
marketing
Company and get to work"-DONALD TRUMP.
click to my link and join my fastest growing team
Its Team

You’ll be armed with the most elite, proven, in demand products that you will be proud to bring to your marketplace. You’ll have an almost unfair competitive edge that will keep your confidence high and your spirits higher.

Address

Zanzibar Island
Zanzibar City

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when White Talent English Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share