14/11/2025
| "Mtoto mwenye tatizo la ulemavu wa akili utamfahamu katika hatua za awali za ukuwaji wake kwa zungingatia namna atakavyo shiriki michezo, kuzungumza pia kupata chakula."
Mwanasakolojia Abdulatif Ahmed akielezea Malezi na mazingira yanavyoathiri ukuaji wa mtoto mwenye ulemavu wa kiakili.
Fuatilia kipindi cha Spice Breakfast kila siku Jumatatu- Ijumaa kuanzia saa 12:00 Asubuhi Hadi 04:00 Asubuhi.
📺SpiceTv kupitia ZMUX Channel No. 21 na Spice Fm
📻Unguja 97.8 MHz
📻Pemba 90.5 MHz
Pia YouTube Spice Media Zanzibar