Wilaya ya Magharibi "A" Unguja

Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Kurasa hii imeundwa kwa ajili ya kutuma Matukio mbali mbali

19/05/2024
Mkuu wa Wilaya ya Magharibi 'A' Bi. Suzan Peter Kunambi akifungua Mafunzo ya uwezeshaji  Wanawake Kiuchumi kwa Wanawake ...
05/03/2024

Mkuu wa Wilaya ya Magharibi 'A' Bi. Suzan Peter Kunambi akifungua Mafunzo ya uwezeshaji Wanawake Kiuchumi kwa Wanawake wa Vikundi vya Wajasiriamali, Mafunzo hayo yamefanyika leo Tarehe 5/3/2024 katika Ukumbi wa Ofisi ya Wilaya ya Magharibi 'A' Mwera.

19/02/2024
Mkuu wa wilaya ya Magharibi "A", Suzan Peter Kunambi akiwa katika uwanja wa mpira wa Mwenge Dole uliopo shehia ya Dole a...
19/02/2024

Mkuu wa wilaya ya Magharibi "A", Suzan Peter Kunambi akiwa katika uwanja wa mpira wa Mwenge Dole uliopo shehia ya Dole akisikiliza kero mbalimbali za wakazi wa jimbo la Bububu ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kusikiliza changamoto za wakazi wa wilaya yake.





Mkuu wa wilaya ya Magharibi 'A' Bi Suzan Peter Kunambi ametembelea vikundi vya ushirika pamoja kaya masikini katika sheh...
18/02/2024

Mkuu wa wilaya ya Magharibi 'A' Bi Suzan Peter Kunambi ametembelea vikundi vya ushirika pamoja kaya masikini katika shehia ya Kidichi na Kikaangoni pamoja na kuwajulia hali wagonjwa waliopo katika Wilaya ya Magharibi 'A' leo Tarehe 18/2/2024.

shehiakwashehia



Mkuu wa wilaya Magharibi "A", Suzan Peter Kunambi, akimjulia hali Maftah Khamis Khamis mkazi wa shehia ya Bububu leo Tar...
18/02/2024

Mkuu wa wilaya Magharibi "A", Suzan Peter Kunambi, akimjulia hali Maftah Khamis Khamis mkazi wa shehia ya Bububu leo Tarehe 18/2/2024 ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kuwatembelea wagonjwa waliopo ndani ya wilaya yake.

18/02/2024

Mkuu wa wilaya Magharibi "A", Suzan Peter Kunambi, akimjulia hali Maftah Khamis Khamis mkazi wa shehia ya Bububu leo Tarehe 18/2/2024 ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kuwatembelea wagonjwa waliopo ndani ya wilaya yake.





Mkuu wa wilaya Magharibi "A", Suzan Peter Kunambi, Februari 18 mwaka  2024 anatarajia kuendelea na  ziara yake ya kuwafi...
18/02/2024

Mkuu wa wilaya Magharibi "A", Suzan Peter Kunambi, Februari 18 mwaka 2024 anatarajia kuendelea na ziara yake ya kuwafikia kwa ukaribu wakazi wa wilaya hiyo katika shehia 6 jimbo la Bububu

Ziara hiyo itaanza saa 4:00 asubuhi hadi 12:00 jioni

ambapo Mkuu wa wilaya Suzan atakukutana na vikundi vya ushirika na kaya masikini vilivyopo katika shehia ya Kijichi na Kikaangoni pamoja na kutembelea na kuwajulia hali wagonjwa.

Kupitia ziara hiyo Mkuu wa wilaya Suzan atasikiliza changamoto mbalimbali za wakazi wa wilaya hiyo katika uwanja wa Mpira Mwenge Dole








Mkuu wa Wilaya ya Magharibi 'A' Bi Suzan Peter Kunambi akiwa pamoja na Watendaji wa Mipango Miji wa Baraza la Manispaa M...
14/02/2024

Mkuu wa Wilaya ya Magharibi 'A' Bi Suzan Peter Kunambi akiwa pamoja na Watendaji wa Mipango Miji wa Baraza la Manispaa Magharibi "A" katika kutatua Mgogoro wa Ardhi uliojitokeza ghafla hiyo imefanyika leo Tarehe 13/2/2024 katika Shehia ya Kihinani Wilaya ya Magharibi 'A'

Address

Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wilaya ya Magharibi "A" Unguja posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share