11/01/2025
Uongozi, Menejimenti na Watumishi wa Afisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, unamtakia Mhe. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Wazanzibari wote sherehe njema za Mikka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.