15/03/2022
Karibu katika mabonanza ya kuchangia damu kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhan ambayo yataanza kesho katika Mkoa wa Kusini kwa utaratibu ufuatao:
Tarehe 16/03/2022 viwanja vya Makunduchi
Tarehe 17/03/2022 Dunga Wilayani
Tujitokeze kwa wingi kuchangia damu ili kuweka hakiba kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao huwa tunakabiliwa na uhaba wa damu.