UVCCM Chake-Chake Pemba

UVCCM Chake-Chake Pemba zanzibar National Association of Blinds

24/06/2021
Watu wenye wawi yao,
06/10/2020

Watu wenye wawi yao,

*CCM KUSHINDWA UCHAGUZI HUU itakuwa MAAJABU YA DUNIA !!!!*Habarini za Leo Wadau !!Kwanza niombe *Jazba ziwekwe pembeni ,...
03/10/2020

*CCM KUSHINDWA UCHAGUZI HUU itakuwa MAAJABU YA DUNIA !!!!*

Habarini za Leo Wadau !!

Kwanza niombe *Jazba ziwekwe pembeni , Akili zifanye Kazi na Tushindane kwa Hoja siyo Vioja !!!!*

Binafsi niwakumbushe Wapenda SIASA Kuwa SIASA ni *Hesabu* !!! K**a Haujuwi Hesabu huu mchezo utakuua na Pressure.

Kwenye Kila Uchaguzi Kuna Wapiga Kura wa aina 3.

*1. WAPIGA KURA wa Chama Chako* ( Hawa kwa lugha nyepesi tunawaita wafia Chama ) Hawa huwa wanapiga Kura kwa kuangalia Ubora wa mgombea wao, Mvuto wake, imani yao kwake na mwisho ni MAPENZI yao ya dhati kwa chama Chao. Mara nyingi inyeshe mvua liwake jua hawa huwezi kuwapindua utachoka wewe tu !!

*2. WAPIGA Kura wa Chama PINZANI.* Hawa ni wafia Chama wa Itikadi yao. Wengi ni wapinzani wakutoka TUMBONI mwa mama zao au walikuwa wanufaika wa mfumo flani kwa hiyo huongezeka kulingana na namna Maslahi yao yalivyokwama. Hawa hata uwaletee *PEPO MAJUMBANI* kwao hawawezi kukukubali.

*3. WAPIGA Kura wasiyo na Vyama ( Un decided Voters )*

Hawa hawana Vyama, hawa ni Bendera fuata upepo na ndiyo Kundi linalochanganya saana. Kwa Kuwa kila Mkutano wa Mgombea wao huudhuria kwa Raha zao. Na ni kundi Muhimu sana linalofanya maamuzi kulingana na kushawishika na Sera, kuvutiwa na mgombea na mabadiliko ya dhati waliyoyashuhudia.

*TAKWIMU ZINASEMAJE SASA !!!!!*

Wapiga KURA wa Uchaguzi wa Mwaka huu 2020 inakadiriwa Kuwa wapo *Milioni 29.*

Hilo ndiyo *Kombe lenyewe la kugombaniwa ( Wapiga KURA )*

Kati yao *CCM pekee ina wanachama Hai MILIONI 17* achana na Wakereketwa na *WAFURUKUTWA* ambao idadi yao inaongezeka kila Siku.

Sasa hili ni Kundi la Kwanza Tu !!! Hawa Ni wafia CHAMA. watukane utakavyo watakufa na Chama chao.

Wanachama hawa wa CCM MWAKA HUU wakikipigia KURA pekee Chama chao bila ongezeka la KURA moja ya Upinzani *CCM na Magufuli watakuwa wameshinda kwa 58.62%*

Kwa hiyo *MAGUFULI , CCM* na *mtandao* wake mkubwa ambao upo kila Kitongoji na KIJIJI wanapambana Kuongeza Kura tu kutoka KUNDI la Watu wasiyo na VYAMA *( Undecided Voters)* ili kutunisha MFUKO wao wa USHINDI kupandisha asilimia (%) Tu !!!

Jambo ambalo linaendelea kuipa NAFASI KUBWA CCM Kushinda kwa KISHINDO. Hayo magoti ya *UNYENYEKEVU yanayopigwa na Mgombea

SALIM M***A OMAR MGOMBEA JIMBO LA GANDO"Kabla ya Kupanda kiririni mama alinifata nakuniambia hivi:-Eleza sera usije kumw...
29/09/2020

SALIM M***A OMAR
MGOMBEA JIMBO LA GANDO

"Kabla ya Kupanda kiririni mama alinifata nakuniambia hivi:-

Eleza sera usije kumwita mtu MSHENZI wala jina lolote la kukejeli huo ndio utu Mwanangu, na akanambia atakae kutukana Mwachie MUNGU usijibu, Muhifadhi nawe MUNGU atakuhifadhi ak**alizia kunambia mara zzzote jitahidi Kuwa MUUNGWANA kwasababu Baada ya siasa kuna maisha mengine yanahitaji Kila Mtu kuwa nae,

Nami nikasema hivi sawa Mama nimekusikia,

nataka niwahakikishie Ndugu zangu na wazee wangu wa GANDO sito simama kiririni hata siku Moja Kuntukana MTU, nitaeleza Sera na Kuinadi ilani ya chama cha Mapinduzi, na kuwaelezeni Vipaumbele vyangu nitakavyo anza navyo endapo mtanichagua,

Kisha nawachia maamuzi mikononi mwenu, Nataka niwahakikishie MAAMUZI YA KURA ZENU HAZITOFUTA UTU NA UDUGU TULIO NAO."

VIJANA WEZANGU WA CHAKE CHAKE MUSTUANGUSHE, OCTOBER 28, 2020 Kura kwa Magufuli.Kura kwa Mwinyi.Kura kwa Wabunge wote wa ...
29/09/2020

VIJANA WEZANGU WA CHAKE CHAKE MUSTUANGUSHE,
OCTOBER 28, 2020
Kura kwa Magufuli.
Kura kwa Mwinyi.
Kura kwa Wabunge wote wa CCM.
Na Wawakilishi wote

Kwa Pamoja Tuijenge Zanzibar Yetu.

MWENYE MKOA WAKE, MKUU WA MKOA WA KUSINI PEMBA"Kijana tunza amani yako Chagua Dr. MAGUFULI Chagua Dr. MWINYIchagua      ...
29/09/2020

MWENYE MKOA WAKE, MKUU WA MKOA WA KUSINI PEMBA

"Kijana tunza amani yako
Chagua Dr. MAGUFULI
Chagua Dr. MWINYI
chagua RAMA BILA
chagua. KADUARA
chagua. CCM
Kwa maendeleo ya Chake-Chake na
ZANZIBAR. Kwa ujumla

CCM OYEEEEEEEEEEEEE

2020 kazi inaendelea"

26/09/2020

baba lao

Pemba Tena kwa Kishindo ni Jumatano ya Tarehe 16 kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale Uzinduzi wa Kampeni Kuanzia Saa 2asu...
15/09/2020

Pemba Tena kwa Kishindo ni Jumatano ya Tarehe 16 kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale Uzinduzi wa Kampeni Kuanzia Saa 2asubuh hadi saa 11 jioni.

MUKINICHAGUA KUWA MBUNGE WA CHAKE CHAKE KWA KIPINDI CHA 2020-2025 NAAHIDI HAYA1:Nitakua mbunifu na nitakua na mpango kaz...
12/09/2020

MUKINICHAGUA KUWA MBUNGE WA CHAKE CHAKE KWA KIPINDI CHA 2020-2025 NAAHIDI HAYA

1:Nitakua mbunifu na nitakua na mpango kazi binafsi wa miaka mitano k**a mbunge na siku zote nitatumia nguvu yangu ya ushawishi na kujenga hoja kuishawishi Serekali kutekeleza ile miradi ambayo mm itakua nje ya uwezo wangu, yaani miradi mkubwa.

2: Nitasikiliza hoja, ushauri, mapendekezo na mahitaji ya wananchi wa Chake Chake, na siku zote nitaongozwa na kiu ya kuwatumikia wanaChakeChake.

3: Nitakua tayari kutumia mfuko wa Jimbo kutekeleza miradi yenye kuacha Alama ya kudumu jimboni kwangu siyo kutumia mfuko wa jimbo kisanii na kwa maslahi yangu binafsi, kamwe hilo halitatokea.

4: Nitakua tayari kutumia akili kubwa zilizo mtaani kufanya mikakati ya kuleta maendeleo jimboni,siyo mbunge wa kuogopa kila mwenye akili na mawazo chanya na kumuona mpinzani wangu.

5: Nitakua mfuatiliaji ambaye daima nitataka kujua changamoto za wananchi wenzangu wa Chake Chake kwenye shehia zote,sio mbunge wa kusimuliwa changamoto za jimboni kwake.

6: Nitakua tayari kutumia ninachokipata kuwekeza jimboni kutengeneza fursa mbali mbali.

7: Daima nitakuwa mwananchi wa kwaida siyo mbunge ambaye nitautumia ubunge wangu k**a daraja la kuwa mtu special ambaye hapaswi kushilikiana na kuishi k**a wananchi wengine.

8: Naahidi nitakua mbunge ambaye nafikiwa na makundi yote ya wananchi yaani vijana ,wazee kina mama ,wasomi na wasio wasomi yaani mbunge wa watu wote siyo mbunge wa kuogopwa .Mbunge antisocial siyo wakati wake 2020-2025

9: Nitakua mbunge wa wananchi mwenye Maono ya mbali na sio kuleta ubabe na kutumia nguvu mbele ya wanaChakeChake walionichagua kuwatumikia.

10: Nitakua mhamasishaji mzuri wa shughuli za maendeleo na kijamii siyo mbunge boss yaani mbunge wa kukaa tu Dodoma na kurudi likizo kutafuta wanaompinga jimboni.

11: Nitakua na ofisi yangu binafsi ambayo itasimamiwa na vijana wa Chake Chake wenye weledi ambayo itakua ndio kiunganishi mbaina ya mbunge na wananchi kipindi ambacho mbunge atakua na majukumu ya kikazi nje ya Jimbo langu.

12: Muda wote ambao sitakua na majukumu ya kikazi nje ya jimbo langu, nitakua nipo kwenye Jimbo langu kuhakikisha tunakutana na wananchi na kujadiliana namna bora

12/09/2020

Address

Chachani
Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UVCCM Chake-Chake Pemba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share