Wakfu And Trust Zanzibar

Wakfu And Trust Zanzibar The Waqf and Trust Commission is a governmental body cooperate having perpetuate succession and a common seal.

he Commission was established by Act No.2 of 2007, its core functions to administer Waqf and Trust,estates of the deceased, Hajj and Zakkah. P.O.BOX 4092 ZANZIBAR
Tel:+255-24-2238186
Fax:+255-24-2238186
Location:Mazizini
Email:[email protected]
Website:www.wakf.go.tz

Katibu Mtendaji Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Sheikh Abdulla Talib Abdulla akishiriki katika ugawaji wa Misaada kw...
16/10/2024

Katibu Mtendaji Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Sheikh Abdulla Talib Abdulla akishiriki katika ugawaji wa Misaada kwa watoto Mayatima iliyotolewa na iliyotolewa na taasisi ya “Direct Aid”.

Wafanyakazi wa Kamisheni ya Wakfu  na Mali ya Amana wakiwa katika mafunzo kuhusu utendaji wa kazi za Wakfu na Amana kati...
15/10/2024

Wafanyakazi wa Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana wakiwa katika mafunzo kuhusu utendaji wa kazi za Wakfu na Amana katika ukumbi wa Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Mazizini Zanzibar.

Walimu wa Skuli ya Nyerere  Sekondari wakiwa wanapata taaluma ya Ibada ya Hijja na  Mfuko wa Hijja  kutoka kwa Maafisa w...
03/10/2024

Walimu wa Skuli ya Nyerere Sekondari wakiwa wanapata taaluma ya Ibada ya Hijja na Mfuko wa Hijja kutoka kwa Maafisa wa Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana na Umoja wa Taasisi za Hijja Zanzibar (UTAHIZA)

Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana inawatangazia wale wote ambao wamekodi Nyumba za Wakfu na Wanamadeni wanatakiwa kufi...
26/09/2024

Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana inawatangazia wale wote ambao wamekodi Nyumba za Wakfu na Wanamadeni wanatakiwa kufika katika Ofisi za Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana zilizopo Mazizini Jengo la Wizara ya Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mazizini Unguja na Kwa Pemba wanatakiwa kufika Katika ofisi za Kamisheni zilizopo Gombani Mpya kulipa madeni hayo. kwa Asiefika kuanzia tarehe 01/10/2024 hadi 31/12/2024 Kamisheni itafanya maamuzi kwa mujibu wa Sheria.

Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana inawatangazia wale wote ambao hawajachukua haki zao za mirathi kuanzaia 01/01/2019 h...
25/09/2024

Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana inawatangazia wale wote ambao hawajachukua haki zao za mirathi kuanzaia 01/01/2019 hadi 31/12/2023 wanatakiwa kufika katika Ofisi za Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana zilizopo Mazizini Jengo la Wizara ya Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mazizini Unguja na Kwa Pemba wanatakiwa kufika katika ofisi za Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana zilizopo Gombani Mpya.

Katibu Mtendaji Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Sheikh. Abdulla Talib Abdulla (Watatu kutoka kushoto) akiwa Pamoja n...
14/09/2024

Katibu Mtendaji Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Sheikh. Abdulla Talib Abdulla (Watatu kutoka kushoto) akiwa Pamoja na Viongozi wa “Direct Aid” Mkurugenzi wa
Zanzibar, Mkurugenzi wa Afrika ya Mashariki mwenye makao yake Makuu Dar Es Salaam waliofika Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Kujitambulisha.

13/09/2024
Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana ikishirikiana na Umoja wa Taasisi za Hijja Zanzibar (UTAHIZA) wametoa elimu ya Hijja...
29/08/2024

Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana ikishirikiana na Umoja wa Taasisi za Hijja Zanzibar (UTAHIZA) wametoa elimu ya Hijja na Mfuko wa Hijja kwa Walimu wakuu wa Skuli za Sekondari kanda ya Unguja katika Skuli ya Kizimkazi Dimbani 29/08/2024.

Wafanyakazi wa Kamisheni ya Wakfu  na Mali ya Amana  wakiwa katika Mafunzo ya mkataba wa manunuzi yaliyofanyika katika u...
16/08/2024

Wafanyakazi wa Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana wakiwa katika Mafunzo ya mkataba wa manunuzi yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Mazizini Zanzibar.

Address

Mazizini
Zanzibar

Telephone

+255242238186

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wakfu And Trust Zanzibar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Wakfu And Trust Zanzibar:

Share