Ahmad bin Hajji

Ahmad bin Hajji Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ahmad bin Hajji, Social service, Zanzibar.

EID MUBARAK KWA WAISLAMU WOTE DUNIANI MWAKA WA 1447 AH sawa na 2026 Miladiyya.
21/03/2026

EID MUBARAK KWA WAISLAMU WOTE DUNIANI MWAKA WA 1447 AH sawa na 2026 Miladiyya.

Ramadhan Kareem Kutoka baraza la vijana Shehia ya Mombasa tarehe 04/09/1447 AH katika iftar ya vijana, wazee pamoja na m...
23/02/2026

Ramadhan Kareem Kutoka baraza la vijana Shehia ya Mombasa tarehe 04/09/1447 AH katika iftar ya vijana, wazee pamoja na mayatima.

Wasaidizi wa sherika kutoka CEPAU wakitoa elimu ya udhalilishaji na haki za watoto Madrasat TAWBA shehia ya Jumbi Jumamo...
08/02/2026

Wasaidizi wa sherika kutoka CEPAU wakitoa elimu ya udhalilishaji na haki za watoto Madrasat TAWBA shehia ya Jumbi Jumamosi 07/02/2026.

Ni jambo jema waziri wetu wa vijana, ajira na uwezeshaji Kukutana na wenyeviti na makatibu wa baraza la vijana Zanzibar,...
22/12/2025

Ni jambo jema waziri wetu wa vijana, ajira na uwezeshaji Kukutana na wenyeviti na makatibu wa baraza la vijana Zanzibar, kuweza kusikiliza changamoto zetu zinazotukabili baraza la vijana Zanzibar.

Alhamdulillah kwa Kufanikisha kushiriki katika Kilomita Kumi mbio za Stop GBV half Marathon Zanzibar. Kupinga vitendo vy...
30/11/2025

Alhamdulillah kwa Kufanikisha kushiriki katika Kilomita Kumi mbio za Stop GBV half Marathon Zanzibar. Kupinga vitendo vya Ukatili dhidi ya wanawake na watoto ❌

Alhamdulillah, Kila hatua ni spesho Kilomita 10 za juhudi  .
23/11/2025

Alhamdulillah, Kila hatua ni spesho Kilomita 10 za juhudi .

Tumepata taaluma nzuri hapa kuhusiana na Dalili za saratani ya Matiti, tuongeze juhudi kupambana na ugonjwa huu.
13/10/2025

Tumepata taaluma nzuri hapa kuhusiana na Dalili za saratani ya Matiti, tuongeze juhudi kupambana na ugonjwa huu.

KILA HATUA DUA.
07/09/2025

KILA HATUA DUA.

Udhalilishaji ni Adui Wa Maendeleo Ya Nchi yetu, wana mazoezi tunajiweka Imara kujiepusha sisi wenyewe na kushiriki juhu...
23/07/2025

Udhalilishaji ni Adui Wa Maendeleo Ya Nchi yetu, wana mazoezi tunajiweka Imara kujiepusha sisi wenyewe na kushiriki juhudi za kukomesha vitendo vya udhalilishaji katika jamii yetu, hii ilikuwa katika Bonanza la Unique Fitness Club 20/07/2025.

Bonanza la Michezo wizara ya fedha Zanzibar, lilojumuisha taasisi chini ya Wizara ya Fedha Zanzibar na pia tulipata ugen...
06/07/2025

Bonanza la Michezo wizara ya fedha Zanzibar, lilojumuisha taasisi chini ya Wizara ya Fedha Zanzibar na pia tulipata ugeni wa wenzetu Tanzania bara TAKUKURU lililofanyika Jumamosi 05/07/2025. Michezo ni mizuri ina imarisha Afya zetu na kuweka sawa mwili kukabiliana na mwaka mpya wa fedha 2025-2026.

Alhamdulillah tumeweza kufanikisha futari yetu ya Vijana Baraza la Vijana shehia ya Mombasa iliyohudhuriwa na Ndugu Mwak...
10/03/2025

Alhamdulillah tumeweza kufanikisha futari yetu ya Vijana Baraza la Vijana shehia ya Mombasa iliyohudhuriwa na Ndugu Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki pamoja Na Katibu Mtendaji baraza la vijana ZANZIBAR ndugu Ali Haji. 2025 imekamilika Allah atulipe ujira kamili wa jambo hili jema lizidi kuendelea.

Tunaishi kwasababu kuna watu wanathamini uwepo wetu katika maisha yao.
27/02/2025

Tunaishi kwasababu kuna watu wanathamini uwepo wetu katika maisha yao.

Address

Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ahmad bin Hajji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category