Zanzibar Maritime Authority -ZMA

Zanzibar Maritime Authority -ZMA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Zanzibar Maritime Authority -ZMA, Government Organization, Malindi, Zanzibar.

The Zanzibar Maritime Authority was established under Act No.3 of 2009 of the House of Representatives and charged with the responsibility of monitoring, regulating and coordinating activities in the maritime industry in Zanzibar

MAADHIMISHO YA SIKU YA MABAHARIA DUNIANI 2026 KIGOMA
05/06/2026

MAADHIMISHO YA SIKU YA MABAHARIA DUNIANI 2026 KIGOMA

05/06/2026

KUELEKEA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA MABAHARIA DUNIANI 2026 KIGOMA

Mh.Sharif Ali Sharif Waziri wa Kazi na Uwezeshaji Zanzibar atembelea Banda la Maonesho ya Mamlaka ya Usafiri Baharini ka...
25/05/2026

Mh.Sharif Ali Sharif Waziri wa Kazi na Uwezeshaji Zanzibar atembelea Banda la Maonesho ya Mamlaka ya Usafiri Baharini katika Maonesho ya Wenyeviti na Wakurugenzi wa Taasisi na Mashirika ya Serikali Golden Tulip Airport.

Viongozi mbali mbali wamepata nafasi ya kulitembelea Banda la Maonesho la Mamlaka ya Usadfiri Baharini Zanzibar na kupon...
25/05/2026

Viongozi mbali mbali wamepata nafasi ya kulitembelea Banda la Maonesho la Mamlaka ya Usadfiri Baharini Zanzibar na kupongeza kazi nzuri zinazosimamiwa na Mamlaka hiyo.

01/05/2026

HOTUBA YA MH. RAIS WA ZANZIBAR KWENYE KILELE CHA MEI MOSI KIZIMBANI DOLE

01/05/2026

Wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na zile za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zilizopo Zanzibar wamejitokeza Mapema leo Asubuhi katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Dunia Mei Mosi katika Viwanja vya Maonesho Kizimbani Dole Mkoa wa Mjini Magharibi . Wilaya ya Magharibi A Unguja. Yafuatayo ni Mahojiano Maalum na Baadhi ya Viongozi waliopata nafasi kwenye Z.M.A Online tv.

Mh.Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A Unguja Laila Burhan Ngozi akipokea maelezo ya Majukumu ya Mamlaka ya Usafiri Baharini Z...
30/04/2026

Mh.Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A Unguja Laila Burhan Ngozi akipokea maelezo ya Majukumu ya Mamlaka ya Usafiri Baharini Zanzibar ( Z.M.A) kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano Z.M.A Nd. Suleiman Abdulla Salim alipotembelea Banda la Mamlaka hiyo katika Maonesho ya Mei Mosi yanayofanyika Kizimbani ( Dole) .

30/04/2026
28/04/2026

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi atembelea Maonesho ya Mei Mosi.

27/04/2026

ZMA yashiriki maonesho ya Mei Mosi

Address

Malindi
Zanzibar
43305

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zanzibar Maritime Authority -ZMA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share