Dkt Ayoub Mahmoud

Dkt Ayoub Mahmoud Naibu Waziri wa Mambo ya ndani Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Alhamdulillah Kazi na Utu Tusonge mbele
14/01/2026

Alhamdulillah Kazi na Utu Tusonge mbele

Agenda ya Mama ni Agenda yetuπŸ™πŸ™πŸ™
23/08/2024

Agenda ya Mama ni Agenda yetuπŸ™πŸ™πŸ™

26/07/2024

Ni WAJIBU wetu kumsaidia Mh RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MAPINDUZI katika kutimiza ahadi na Malengo yote na pia kutimiza ilani ya Chama chetu ambapo ajenda kuu ni kuwasaidia Wananchi wa chini waweza kujipatia kipato na kujikwamua kutoka katika janga la umaskini.

Allaw atujalie mema katika miongoni mwa MemaπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
04/06/2024

Allaw atujalie mema katika miongoni mwa MemaπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Kwa niaba ya WANANCHI WA MKOA wa Kusini ,tunawatakia Mahujaj wote Ibada Njema!!🀲🀲🀲🀲🀲🀲
01/06/2024

Kwa niaba ya WANANCHI WA MKOA wa Kusini ,tunawatakia Mahujaj wote Ibada Njema!!

🀲🀲🀲🀲🀲🀲

"umurike hata nje ya mipaka yetu na ulete Tumaini pale ambapo pana chuki ulete upendo na Heshima ambapo pamejaa dharau "...
28/05/2024

"umurike hata nje ya mipaka yetu na ulete Tumaini pale ambapo pana chuki ulete upendo na Heshima ambapo pamejaa dharau "


Tunatambua jitihada za kina Mama wote wa Mkoa wa Kusini,Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.
12/05/2024

Tunatambua jitihada za kina Mama wote wa Mkoa wa Kusini,Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.

11/12/2023
10/12/2023

Tarehe 12/12/2023 πŸ™

Tuna nafasi ya kujua mengi sana kutoka kwangu kuhusiana na Fursa na namna ya kuzifikia fursa zinazotolewa na Serikali na...
30/11/2023

Tuna nafasi ya kujua mengi sana kutoka kwangu kuhusiana na Fursa na namna ya kuzifikia fursa zinazotolewa na Serikali na Binafsi zilizopo katika Mkoa wetu wa Kusini,Jumamosi Saa 3 Asubuhi washa Television yako na hakikisha umeweka

Ijumaa Kareem!!!πŸ™πŸ™
28/07/2023

Ijumaa Kareem!!!πŸ™πŸ™

Tugeuze Matatizo yetu k**a fursa kwetu!!...Let's be positive.πŸ™
15/07/2023

Tugeuze Matatizo yetu k**a fursa kwetu!!...
Let's be positive.πŸ™

Address

Mkokotoni
Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dkt Ayoub Mahmoud posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share