Zanzibar Malaria Elimination Programme

Zanzibar Malaria Elimination Programme Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Zanzibar Malaria Elimination Programme, Government Organization, Mwanakwerekwe, Zanzibar.

Heri ya Mwaka mpya 2026
31/12/2025

Heri ya Mwaka mpya 2026

NYERERE DAY 14TH OCTOBER
14/10/2025

NYERERE DAY 14TH OCTOBER

08/10/2025
Heri ya siku kuu ya Sabasaba
07/07/2025

Heri ya siku kuu ya Sabasaba

Heri ya mwaka mpya wa kiislam 1447 Hijr
27/06/2025

Heri ya mwaka mpya wa kiislam 1447 Hijr

Eid Al_Adha Mubarak 2025
06/06/2025

Eid Al_Adha Mubarak 2025

06/06/2025
Programu ya Kumaliza Malaria Zanzibar (ZAMEP), Tumezuru kijiji cha Kisakasaka, kwa ajili ya kutoa Elimu ya Malaria na ku...
05/06/2025

Programu ya Kumaliza Malaria Zanzibar (ZAMEP), Tumezuru kijiji cha Kisakasaka, kwa ajili ya kutoa Elimu ya Malaria na kusikiliza maoni ya wananchi kuhusu namna bora ya kupambana na ugonjwa wa Malaria. Tumejadili jitihada madhubuti za kuilinda jamii dhidi ya malaria.

Programu ya kumaliza Malaria Zanzibar (ZAMEP) leo Tarehe 4/6/2025 tumekwenda kutoa Elimu ya Afya kwa wanafunzi wa Bright...
04/06/2025

Programu ya kumaliza Malaria Zanzibar (ZAMEP) leo Tarehe 4/6/2025 tumekwenda kutoa Elimu ya Afya kwa wanafunzi wa Bright Future Academy, dhamira kuu ikiwa ni kinga na tiba ya ugonjwa wa Malaria.
Katika jitihada za kuwalinda wanafunzi wanaojiandaa kwa mitihani yao ya kidato cha pili, tumefanikisha upimaji wa malaria kwa wanafunzi wote wa bweni (wanaokaa dahalia), tukiwapa fursa ya kupata matibabu mapema ikiwa lengo kuu ni Kuimarisha afya ya wanafunzi, kusaidia mazingira bora ya kujifunzia na kupunguza athari za malaria kwa kipindi chote wanapokuwa shuleni hasa kipindi hichi cha kujiandaa na mitihani.
Kumbuka kua:
Afya bora hujenga matokeo bora!

Programu ya Kumaliza Malaria Zanzibar, tumeandaa mkutano na wadau wa sekta zisizo za afya kujadili njia bora za kushirik...
04/06/2025

Programu ya Kumaliza Malaria Zanzibar, tumeandaa mkutano na wadau wa sekta zisizo za afya kujadili njia bora za kushirikiana katika mapambano dhidi ya malaria. Ushirikiano wa sekta zote ni nguzo muhimu kufikia Zanzibar isiyo na malaria.

Uongozi na Wafanyakazi wote wa Programu ya Kumaliza Malaria Zanzibar (ZAMEP) tunatoa salamu za pongezi kwa Prof. Mohamed...
19/05/2025

Uongozi na Wafanyakazi wote wa Programu ya Kumaliza Malaria Zanzibar (ZAMEP) tunatoa salamu za pongezi kwa Prof. Mohamed Yakoub Janabi, kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), kanda ya Afrika.

Address

Mwanakwerekwe
Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zanzibar Malaria Elimination Programme posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Zanzibar Malaria Elimination Programme:

Share