UVCCM Wilaya YA Malinyi

UVCCM Wilaya YA Malinyi 155

01/05/2018

Nawaomba vijana wezangu wa uvccm wilaya ya malinyi tujiandae kwa mapokezi ya mgeni wetu ambaye ni rais wa jamhuli ya muungano wa tanzani dkt john magufuli (tanzanania ya viwanda inawezekana timiza wajibu wako)

28/03/2018

Naona vijana uvccm wilaya ya malinyi atujaonesha ushilikiano wowote mbele ya katibu mwenezi taifa tumejiweka nyuma sana bado atujajitambua kuwa kwamba uvccm ni watetezi ,askari wa chama cha mapinduzi amka malinyi.

Katibu wa itikadi na uhenezi taifa akifungua tawi la ccm makelele leo ndani ya wilaya ya malinyi
25/03/2018

Katibu wa itikadi na uhenezi taifa akifungua tawi la ccm makelele leo ndani ya wilaya ya malinyi

25/03/2018
Ni mapokezi ya katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi ndugu polepole leo katika maeneo ya shule ya sekondari...
25/03/2018

Ni mapokezi ya katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi ndugu polepole leo katika maeneo ya shule ya sekondari kipingo ndani ya wilaya malinyi(kidumu chama cha mapinduzi)HAPA KAZI TU§TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA TIMIZA WAJIBU WAKO #

23/03/2018

Katibu wa itikadi na uenezi wa ccm ameanza ziala yake ya kukagua utelezaji wa ilani ccm ndani ya mkoa wa morogoro nawaomba vijana wezangu wa uvccm malinyi tujiandae kuumpokea mgeni huyu KAZI TU #

23/03/2018

Ndugu vijana wezangu wa uvccm wa wilaya ya malinyi hii ni ukurasa wetu tuungane kuijenga tanzania ya viwanda hapa kazi tu

Address

Mbombela
567865

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UVCCM Wilaya YA Malinyi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share