Umoja Update

Website

Umoja Update Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Umoja Update, Public Service, Dar es salaam, Dar es Salaam.

"Palipo Na Umoja Hapakosi Ushindi" Kwamawasiliano📱📲 +255 685 222 754/+255 718 642 100 https://whatsapp.com/channel/0029Vb8oDAKHLHQhARKaty1j

Umoja Update  Hapa Ni Nyumbani
27/09/2026

Umoja Update
Hapa Ni Nyumbani

R.I.P 🕊️🕊️😥Umoja Update unawapa pole ndugu Africa Boy  (Alphonce) pamoja na Tony Brown Tz  (Anthony) kwa kuondokewa na b...
05/09/2026

R.I.P 🕊️🕊️😥
Umoja Update unawapa pole ndugu Africa Boy (Alphonce) pamoja na Tony Brown Tz (Anthony) kwa kuondokewa na baba yao mzazi Mzee Raphael hapo juzi tarehe 3/9/2026 na kuzikwa jana Tarehe 4/9/2026 Vikindu jijini Dar es Salaam.
Bwana Ametoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana libarikiwe.🙏
Innalilah wainalilah rajiun🙏

Ukienda nyumbani asiache kushare Self 📸 💥 na wana wako wa kitamboWeka Pozi Tupige 📷Ramadhan Khamis Zungu
27/08/2026

Ukienda nyumbani asiache kushare Self 📸 💥 na wana wako wa kitambo

Weka Pozi Tupige 📷
Ramadhan Khamis Zungu

Umoja ni muhimu kwa vijana wenye nia njema na thabiti moyoni mwao,Muda mwingine furaha ndio kitu pekee cha kukizingatia ...
22/08/2026

Umoja ni muhimu kwa vijana wenye nia njema na thabiti moyoni mwao,
Muda mwingine furaha ndio kitu pekee cha kukizingatia kiendelee kuwepo kati yako na vijana wenzio na watu wote watakaokuwa tayari kufurahi nawewe,
Furaha 😆😆😄

💪

Ukiachana na huyu Mchezaji Galasa wa mzee omari  anaeangalia kamera Beka Gagalino 😆😆😄Je! Unamfahamu huyo mchezaji mwenye...
17/08/2026

Ukiachana na huyu Mchezaji Galasa wa mzee omari anaeangalia kamera Beka Gagalino 😆😆😄
Je! Unamfahamu huyo mchezaji mwenye jezi namba 5 mgongoni anaitwa nani ?
Ni nafasi gani uwanjani alikuwa akicheza ?
Hizo jezi je unakumbuka zilivyopatikana?

09/07/2016 🔥🔥

TAARIFA, TAARIFA, TAARIFAAAAA   KWA WOTEE WATOKAO  ZENETI 🔥🔥.SASA NI WOTEEE...TUNAOISHI NJE YA ZENETI NA NDANI YA ZENETI...
17/08/2026

TAARIFA, TAARIFA, TAARIFAAAAA KWA WOTEE WATOKAO ZENETI 🔥🔥.

SASA NI WOTEEE...TUNAOISHI NJE YA ZENETI NA NDANI YA ZENETI💪 TUMEWAFIKIAA🔥🔥🔥🔥

Umoja Ni Ushindi Unawatangazia wanaZENETI wote popote walipo kuwa Dirisha la Usajiri wa wanaumoja wapya limefunguliwa Rasmi. Kwa yoyote yule anaehitaji kuwa sehemu ya Umoja huu basi asisite kuja Inbox na kupatiwa msaada wa kuelekezwa na kufafanuliwa kwa lolote atakalotaka kuuliza. SHERIA zipo, KATIBA ipo UMOJA upoooo💪💪💪💪💪💪💪Ukizihitaji usome utapatiwa Bureeeeeeeeeee Kwa Namba hizo hapo chini👇👇

Kwa Msaada zaidi tupigie
+255 685 222 754
+255 718 642 100

HAYO NI MASHARTI YA KUJIUNGA NA UMOJA HUU TANGU AWALI HADI KUKAMILIKA.💯💯

HAKUNA MWENYE MPANGO WA KUKUTAPELI🚫❌   WALA KUKUHADAA K**A UHISIVYO❌❌  Bali wapo vijana wenzio wenye mawazo chanya na mp...
06/08/2026

HAKUNA MWENYE MPANGO WA KUKUTAPELI🚫❌ WALA KUKUHADAA K**A UHISIVYO❌❌ Bali wapo vijana wenzio wenye mawazo chanya na mpango wenye uwazi kwa watu makini wa kufanya jambo la msingi katika jamii.

Umoja Ni Ushindi Ni Umoja ulioanzishwa na vijana wa zeneti Mwaka 2017 kwaajili ya vijana wa zeneti wote wanaoishi ndani au nje ya Zeneti wa lika zote kuja kujumuika pamoja k**a familia.

LENGO KUU la Umoja huu ni kusaidiana katika mambo ya misiba na kwa baadhi ya magonjwa kwa wanaumoja husika. ILA UMOJA HUU SIO TAASISI YA MKOPO, WALA HAUJIHUSISHI NA MIKOPO KWA WATU.

ADA YA KUJIUNGA NA UMOJA HUU NI KIASI CHA SHILINGI ELFU SITINI ( 60,000 ) Ambayo utailipa ndani ya kipindi cha miezi sita ( 6 )
Vilevile Ada ya kila mwezi kwa wanachama wote ni Kiasi cha Shilingi Elfu Tano ( 5,000 ) tu. Ambapo pesa zote za umoja huingizwa moja kwa moja kwenye Account ya UMOJA NI USHINDI

Unakaribishwa Ewe mwana zeneti kujiunga na umoja huu wa familia yako ya nyumbani ili kuweza kusimamisha kitu kitakachokuwa alama kwa jamii yetu. KARIBNI NYOTE

27/07/2026
Macho na mawazo ya wanasoko wote Duniani yanaelekea katika Tukio la ugawaji wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia katika mch...
21/07/2026

Macho na mawazo ya wanasoko wote Duniani yanaelekea katika Tukio la ugawaji wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia katika mchezo wa mpira wa miguu Ikitambulika kwa jina maarufu la BALLON D'OR Hapo Tarehe 26/10/2026 Huko LONDON

Swali ni je, Nani ataibuka kidedea wa kuchukua Tuzo hiyo?

Umoja Ni Ushindi  worldwide🌎🌐🔥🔥UMOJA NI USHINDI  Unatangaza kuwa, kuanzia sasa utapatikana katika CHANNEL mpya ya WhatsA...
18/07/2026

Umoja Ni Ushindi worldwide🌎🌐🔥🔥

UMOJA NI USHINDI Unatangaza kuwa, kuanzia sasa utapatikana katika CHANNEL mpya ya WhatsApp, Hivyo msisite kutufollow kwaajili ya kujua mambo mengi kuhusu umoja huu kwa kina zaidi. Hivyo WANAUMOJA wanaomba mtufollow kupitia Link hii ukibonyeza itakupeleka moja kwa moja kwenye CHANNEL yetu mpya.

UMOJA HUU KWASASA UNAPATIKANA KATIKA PLATFORMS MBILI TU, (FACEBOOK NA WHATSAPP) 🔥

Follow UMOJA UPDATE💪's WhatsApp channel. CHANNEL hii ni ya UMOJA NI USHINDI. Karibuni sana kwa taarifa muhimu na mambo mbalimbali ya kijamii.. Join 5 followers for the latest updates.

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Umoja Update posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category