Hitra mwalongo

Directions Website

Hitra mwalongo Tanzanian 🇹🇿 politician East Africa. human rights activist Mwana siasa mpenda haki

29/10/2026

27/10/2026

yaani Dah 😭

25/10/2026

Afisa Habari wa Azam FC, Zakazakazi, amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kwamba Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu, alizuiwa kuingia Uwanja wa Azam Complex kabla ya mchezo kati ya Azam FC na ZED FC.

Zakazakazi amesema alishuhudia tukio hilo na kueleza kuwa kabla ya mchezo kuanza, alipokea simu kutoka kwa mwandishi wa habari aliyedai kuzuiwa kuingia uwanjani. Alipofika eneo la tukio, aliwakuta waandishi wanne waliokuwa wamezuiwa kuingia.

Kwa mujibu wa Zakazakazi, askari polisi aliyekuwa eneo hilo alimweleza kuwa kulikuwa na maelekezo kutoka kwa mkuu wa usalama wa CAF wa mchezo kwamba uwanja ulikuwa umejaa na watu wengine hawakuruhusiwa kuingia.

Amesema aliomba waandishi hao waruhusiwe kuingia kwa kuwa jukwaa lao lilikuwa bado na nafasi, lakini wakati akijadiliana na askari huyo, Mangungu aliwasili.

Zakazakazi amedai kuwa askari alimweleza Mangungu kwamba angeweza kuingia uwanjani, lakini bila watu aliokuwa nao kwenye gari. Hata hivyo, amesema Mangungu aliamua kuondoka baada ya kusisitiza kwamba ikiwa hataingia na wenzake, basi wote wasingie.

“Kwa hiyo kusema kwamba Mangungu alizuiliwa, sio taarifa sahihi,” amesema Zakazakazi, huku akimwomba radhi Mangungu kwa usumbufu uliojitokeza na kueleza kuwa maafisa wa usalama walikuwa wakitekeleza majukumu yao.

  uvumilivu zero 🤣
24/10/2026

uvumilivu zero 🤣

24/10/2026

Anasema yanga wamepoteza mvuto na hawana uwezo wa kumjibu 😀 anasema anaogopa simba tu.

wanaitwa nyuma mtela 🤣
24/10/2026

wanaitwa nyuma mtela 🤣

Watoto wa alufu 2005        Una mshauri atumie nn kupiga hesabu maana hicho chuo chake 🤣
23/10/2026

Watoto wa alufu 2005
Una mshauri atumie nn kupiga hesabu maana hicho chuo chake 🤣

23/10/2026

Unamkumbuka Rebecca Mless wa RFA ukiwa wapi? Mtangazaji bora sana huyu!

hongera kwa mbunge Mh;mligokwa kumuona kijana. wa masiimbaaa
22/10/2026

hongera kwa mbunge Mh;mligo

kwa kumuona kijana. wa masiimbaaa

21/10/2026

Simba ikiwa nyumbani itawashangaza 🤣🤣

Address

Njombe

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hitra mwalongo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share